satadei mandei
Member
- Oct 18, 2019
- 10
- 7
Adam juma alikuwa anakimbiza sijui ilikuwaje akapotezea kupiga mzigo.
hao ni waongozaji wapya hansacana tayari yupo kwenye game na yupo imaraMbona hawajulikani hao uliotaja? Nilitaraji japo Hanscana awepo
Hamna kitu KENNY BABA LAOHanscana ni sheedah
Na video za artificial scene kila siku?Hamna kitu KENNY BABA LAO
But ndo BEST VIDEO DIRECTOR 2019 AFRIMANa video za artificial scene kila siku?
Hakuna tuzo isiyonunuliwaBut ndo BEST VIDEO DIRECTOR 2019 AFRIMA
Kanunue kinyago weweHakuna tuzo isiyonunuliwa
Eryn epidu jamaa alikuwa noma sana, ila wakamfanyia zengwe akarudi kwao UgandaVideo Directors na Maproducers wa Muziki wana zama. Zikipita huwezi kurudi.
Adam Juma alikua mzuri sana, zamaaani kulikua na wajamaa wanaitwa 2Eyes Production.
ingekuwa poa Ungetaja na kazi zao kadhaa.Kulingana na soko la muziki kukua bongo imechangia uwepo wa waongozaji wapya wa video za muziki kwa kasi.
Mimi top 5 yangu ni hii
1.Director Flex
2.Dir KAJALA
3.DIR SNIPPER
4.DIR JOMA
5.DIR NGOTA