Waongozaji wapya wa video wa kutazamwa mwaka 2019-2020

Waongozaji wapya wa video wa kutazamwa mwaka 2019-2020

Joined
Oct 18, 2019
Posts
10
Reaction score
7
Kulingana na soko la muziki kukua bongo imechangia uwepo wa waongozaji wapya wa video za muziki kwa kasi.
Mimi top 5 yangu ni hii

1.Director Flex

2.Dir KAJALA

3.DIR SNIPPER

4.DIR JOMA

5.DIR NGOTA
 
Mbona hawajulikani hao uliotaja? Nilitaraji japo Hanscana awepo
 
Mtoa mada, wewe ni namba ngapi kati ya hao uliowataja? Maana naona unatambulisha ma-director wapya sokoni
 
Adam juma alikuwa anakimbiza sijui ilikuwaje akapotezea kupiga mzigo.

Video Directors na Maproducers wa Muziki wana zama. Zikipita huwezi kurudi.

Adam Juma alikua mzuri sana, zamaaani kulikua na wajamaa wanaitwa 2Eyes Production.
 
Hata siwajui mbona hao uliowataja achilia mbali kuwasikia
 
Video Directors na Maproducers wa Muziki wana zama. Zikipita huwezi kurudi.

Adam Juma alikua mzuri sana, zamaaani kulikua na wajamaa wanaitwa 2Eyes Production.
Eryn epidu jamaa alikuwa noma sana, ila wakamfanyia zengwe akarudi kwao Uganda
 
Kulingana na soko la muziki kukua bongo imechangia uwepo wa waongozaji wapya wa video za muziki kwa kasi.
Mimi top 5 yangu ni hii

1.Director Flex

2.Dir KAJALA

3.DIR SNIPPER

4.DIR JOMA

5.DIR NGOTA
ingekuwa poa Ungetaja na kazi zao kadhaa.
 
Back
Top Bottom