Waooooo! siamini kabisa!!!

Waooooo! siamini kabisa!!!

Kufungua ID hata sijamaliza wiki tayari nimekuwa senior member.
Ahsante JF, hahahahaha raha sana. Nadhani wiki ijayo nitakuwa Platinum member kama akina Nyani Ngabu.

salamu nyingi kwako Mwifwa, MBITIYAZA
Ebu tuambie jinsia yako tafadhali...[emoji39] [emoji39]
 
Ila ukumbuke maneno ya JK "akili za kuambiwa uchanganye na zako" tehe tehe tehe kama umeridhika na hako "kamoja" basi tulia nako tu usiweke kengine.😀😀😀😀😀😀

hahaha we naye unanivuruga tu hapa !mie nitachukua ushuri wako bwana wee ! usiwe kivuruge bas ! hahhha shida ya id moja ikivurugwa unavurugwa kweli kweli !ukiwa na sapota akuuuuuuuu!unatulia tu
 
Back
Top Bottom