Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀😀😀😀hahaha we naye unanivuruga tu hapa !mie nitachukua ushuri wako bwana wee ! usiwe kivuruge bas ! hahhha shida ya id moja ikivurugwa unavurugwa kweli kweli !ukiwa na sapota akuuuuuuuu!unatulia tu
ndio ww?? au naotaHongera sana
nadhan kuna ktu anashida kwenye malezi yake ya utoton !tumsameheTatizo lake hataki mtu wa kumpinga, ukimpinga ana "kuchomoa"
SiweziNipo! Naona umenisusa
Precisely, hata mie nilishahisi hivyo!!!!nadhan kuna ktu anashida kwenye malezi yake ya utoton !tumsamehe
NItakuja na masweta yangu yaliyofumwa kwenye viwanda vyetu vya hapa hapa TanzaniaHaina tabu. Ila kwa sasa kuna baridi kama kwenye friji na barafu tele. Utaweza?
Haya. Jiandae.NItakuja na masweta yangu yaliyofumwa kwenye viwanda vyetu vya hapa hapa Tanzania
Sawa sawa.....[emoji47] [emoji47] [emoji47]nilimwambia nami natakiwa kuwa na id nyingine !mie sinaga id nyingine !nikipigwa ba huwa nakuwa mpole !huyubalipigwa ban akaamua kujiongeza
huyo huyo mkuuSawa sawa.....[emoji47] [emoji47] [emoji47]
Asante mkuu kwa kutoa usingizini.
Kumbe huyu ndio yule aliepigwa laifu bani dipu dauni to ethi....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
hahaha, wavirita kadaraja ketu ka rimbeni. hahahaaahahhaha.