Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 633
- 1,256
Vipi watoto wa kiganda wamesha kuonjesha kachabali?Habari za humu! Nimeingia town Kampala, huku hatari mazee yaani kila unaepishana nae ni kimini tu. Huku ukimuona mtu kavaa dela anaonekana ni mtz. Kuosha macho utachoka mwenyewe. Picha nimeshindwa maana mji upo bize mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania kiwango cha kuvaa madela kimepanda chat huku uvaaji wa chupi ukiwa 0% mwandishi wetu alifahamishwa kuwa chupi haxima maana kwani watalii wanapenda kuona chura akitikiska hivo wadada wa Tz wanaongoxa kwa kuvaa madela bila chupi sio mimi maelexo haya ni kwa hisan ya mtafiti wetu pesa madafuHabari za humu! Nimeingia town Kampala, huku hatari mazee yaani kila unaepishana nae ni kimini tu. Huku ukimuona mtu kavaa dela anaonekana ni mtz. Kuosha macho utachoka mwenyewe. Picha nimeshindwa maana mji upo bize mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
We ishia hapo Hapo, Zanzibari mwisho huku watu wanshinda na vichupi tuItakuwa umetokea Tanga ama Zanzibari ..!![emoji60] [emoji60] [emoji60] Ami Jey vipi wewe..!! Washangaa Vimini...!! Wa wapi wewe.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chi chi nawe??'!!