Waosha macho nendeni Kampala!!

Waosha macho nendeni Kampala!!

Kampala mbali sana.. Mimi naendaga ile mitaa yenye magari ya STK, STJ, DFPA nyingi, nakula tani yangu.. Nikiona bado nina njaa njaa naenda pale CBE wanapouza kahawa nakula tena kwa macho..

Nikitosheka nachanganya miguu, huyo ghetto..
 
Habari za humu! Nimeingia town Kampala, huku hatari mazee yaani kila unaepishana nae ni kimini tu. Huku ukimuona mtu kavaa dela anaonekana ni mtz. Kuosha macho utachoka mwenyewe. Picha nimeshindwa maana mji upo bize mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania kiwango cha kuvaa madela kimepanda chat huku uvaaji wa chupi ukiwa 0% mwandishi wetu alifahamishwa kuwa chupi haxima maana kwani watalii wanapenda kuona chura akitikiska hivo wadada wa Tz wanaongoxa kwa kuvaa madela bila chupi sio mimi maelexo haya ni kwa hisan ya mtafiti wetu pesa madafu
Source....
Pesa madafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom