Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Kuna vitu vinachekesha sana..!! 😹😹😹
Hivi lengo la waarabu na wamisionari kuleta dini Africa ilikuwa ni nini?
Sheikh, Sharifu Majini (GTH)
Sheikh Jongo
Masheikh wa Bakatwa
Sheikh Mwaipopo
Mchungaji Mwamposa
Hawa watu wakuu mnawaelewa kweli na matamko yao?
Hivi wanaona tunachokiona sisi au wenzetu wanaishi sayari tofauti?
Na waumini wao mpo proudly kabisa kuwasikiliza na kuwapelekea vipande vya fedha kama sadaka ikiwa hawajali mateso yenu..!!