Na wanasiasa wasitumie dini kama kichaka cha kuficha maovu yao.SIASA SEHEMU YA IBADA NI KUZINAJISI SEHEMU ZA IBADA!
HATUPASWI KABISA KUSIKIA SHEHE, MCHUNGAJI AU ASKOFU YEYOTE AKITOA MATAMKO YA KISIASA MADHABAHUNI WALA KUSHIRIKI SHUGHULI ZA KISERIKALI.
............................ KATIBA MPYA!
Sawa sawa Asante sanaKwa mujibu wa mtu wake wa karibu wanasema yupo mzima wa afya..
... na viapo vyote vya KISERIKALI vifanywe huku muhusika amekamata katiba ya nchi bila kulitaja jina la Mungu burebure!Na wanasiasa wasitumie dini kama kichaka cha kuficha maovu yao.
Hao watu hawatamki hayo kwa kukurupuka kuna u skariote umehusika ili kuwapaka rangi. Usisahau hilo