Mkuu hivi pembezoni mwa paa la contemporary umeweka gundi au ulipiga plaster kama kawaida?Si bora ingekuwa haina gypsum ningeng'oa au kupiga oil? Mimi nishapiga gypsum na rangi kila kitu. Halafu ni conteporary kuingia darini mtihani!!!!
Sasa milunda gharama utawezaa??Kuna jamaa yangu ni fundi,amenishauri mbao nyingi kwa sasa hamna kitu.
Anasema kitu cha uhakika ni milunda,ambao mmetumia naomba uzoefu kuhusu hili
Huko niliweka Synroof na kile kitambaa chake. Vinapatikana Nabaki afrikaMkuu hivi pembezoni mwa paa la contemporary umeweka gundi au ulipiga plaster kama kawaida?
Yaani hawa wadudu ni wasumbufu jamani wamepekecha mlango ni kelele tu usiku
Milunda nayo inapekechwaKuna jamaa yangu ni fundi,amenishauri mbao nyingi kwa sasa hamna kitu.
Anasema kitu cha uhakika ni milunda,ambao mmetumia naomba uzoefu kuhusu hili
DuuuhMilunda nayo inapekechwa
TBS wanabisha. Wamejikalia zao ofisini wanasubiri watu waingie hasara, halafu waende kulalamika ili watafute bajeti ya kuanza kufanyia utafiti malalamiko hao.
Natembea kuelekea Buguruni eneo la Binti Madenge. Hapa nakutana na wafanyabiashara wanaouza mbao na wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao ndani ya mapipa. Navutiwa na kazi ile, nikitaka kujua ni kwa nini wanatumbukiza mbao ndani ya yale mapipa marefu yenye maji ya rangi ya kijani.
Asante mkuu, uzoefu sina kabisa kwenye hizi conte. Na inawekwa baada ya kupiga bati au inaandaliwa kabla? Manake kwenye makutano ya ukuta na bati naona kuna changamoto sana kupadhibiti.Huko niliweka Synroof na kile kitambaa chake. Vinapatikana Nabaki afrika
Huwa nasikia wanasema ukifanikiwa kuweka ceiling mapema huwa wanapotea wenyewe kwa sababu ya joto sasa sijui kweli?Mimi pia nimeuziwa hizi, nawasikia tu darini wanswaga. Kichwa kimepata moto sijui nawafanyaje!!!
Baada ya kupiga bati. Unapaka kwenye bati na kwenye ukuta, then unatandika hicho kitambaa huko ulikopaka. Baada ya hapo unapaka tena juu ya hicho kitambaa kukamilisha. Kusiwe na mvua siku hiyoAsante mkuu, uzoefu sina kabisa kwenye hizi conte. Na inawekwa baada ya kupiga bati au inaandaliwa kabla? Manake kwenye makutano ya ukuta na bati naona kuna changamoto sana kupadhibiti.
Ubarikiwe sana mkuu!!Baada ya kupiga bati. Unapaka kwenye bati na kwenye ukuta, then unatandika hicho kitambaa huko ulikopaka. Baada ya hapo unapaka tena juu ya hicho kitambaa kukamilisha. Kusiwe na mvua siku hiyo
Si kwelisababu ya joto sasa sijui kweli?