Wapaka mbao rangi kuhadaa wateja

Wapaka mbao rangi kuhadaa wateja

Si bora ingekuwa haina gypsum ningeng'oa au kupiga oil? Mimi nishapiga gypsum na rangi kila kitu. Halafu ni conteporary kuingia darini mtihani!!!!
Mkuu hivi pembezoni mwa paa la contemporary umeweka gundi au ulipiga plaster kama kawaida?
 
Ni bora kujifunga mkanda kununua sao hill wao treated timber zao huwa ni uhakika.
 
Kuna jamaa yangu ni fundi,amenishauri mbao nyingi kwa sasa hamna kitu.

Anasema kitu cha uhakika ni milunda,ambao mmetumia naomba uzoefu kuhusu hili
Sasa milunda gharama utawezaa??
 
Kuna jamaa yangu ni fundi,amenishauri mbao nyingi kwa sasa hamna kitu.

Anasema kitu cha uhakika ni milunda,ambao mmetumia naomba uzoefu kuhusu hili
Milunda nayo inapekechwa
 
Natembea kuelekea Buguruni eneo la Binti Madenge. Hapa nakutana na wafanyabiashara wanaouza mbao na wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao ndani ya mapipa. Navutiwa na kazi ile, nikitaka kujua ni kwa nini wanatumbukiza mbao ndani ya yale mapipa marefu yenye maji ya rangi ya kijani.
TBS wanabisha. Wamejikalia zao ofisini wanasubiri watu waingie hasara, halafu waende kulalamika ili watafute bajeti ya kuanza kufanyia utafiti malalamiko hao.

Hiu nchi ina mambo ya Kingese sana, yaana wanaofanya hizo hujuma wanakiri kufanya hivyo ili kupata faida, lakini mamlaka zinachagua kubisha.
 
Huko niliweka Synroof na kile kitambaa chake. Vinapatikana Nabaki afrika
Asante mkuu, uzoefu sina kabisa kwenye hizi conte. Na inawekwa baada ya kupiga bati au inaandaliwa kabla? Manake kwenye makutano ya ukuta na bati naona kuna changamoto sana kupadhibiti.
 
Hao ndio wabongo Bora ununue ukatriti mwenyewe Kama mfuko unaruhusu nenda kiwandani sao hill Mandela road utapata mbao halisi za dawa
 
Wezi sana hata futi zao hazitimii zimepunguzwa namba uwe makini vipi lazima wakulize ukiwa mgeni.
 
Mimi pia nimeuziwa hizi, nawasikia tu darini wanswaga. Kichwa kimepata moto sijui nawafanyaje!!!
Huwa nasikia wanasema ukifanikiwa kuweka ceiling mapema huwa wanapotea wenyewe kwa sababu ya joto sasa sijui kweli?

Mimi nilinunua dukani kwa jamaa ninaemjua siyo Buguruni ni Mbezi huko sasa yule Mchagha kila nikijaribu kuwaza akili yangu inakataa!
 
Test nzuri piga kipande dawa ya mbao kisha weka chini uchek kama mchwa watakula
 
Asante mkuu, uzoefu sina kabisa kwenye hizi conte. Na inawekwa baada ya kupiga bati au inaandaliwa kabla? Manake kwenye makutano ya ukuta na bati naona kuna changamoto sana kupadhibiti.
Baada ya kupiga bati. Unapaka kwenye bati na kwenye ukuta, then unatandika hicho kitambaa huko ulikopaka. Baada ya hapo unapaka tena juu ya hicho kitambaa kukamilisha. Kusiwe na mvua siku hiyo
 
Baada ya kupiga bati. Unapaka kwenye bati na kwenye ukuta, then unatandika hicho kitambaa huko ulikopaka. Baada ya hapo unapaka tena juu ya hicho kitambaa kukamilisha. Kusiwe na mvua siku hiyo
Ubarikiwe sana mkuu!!
 
Hiyo ni opportunity kama ikitokea kampuni na kujipanga vizuri wateja wote watahamia kwake
 
Sema hawa wako Zanzibar
Screenshot_20230705_201929_com.facebook.katana_edit_35661472694037.jpg
 
Zanzibar unaagiza tu kuliko kadhia ya hao pekecha pekecha.
 
Back
Top Bottom