Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Ngoja waamke kutoka usingizini watabwatuka weeee na kutoa maneno ya ajabu!!Waislamu wa katavi wamepewa hizi Taarifa?
Habari kama hii huwezi kuisikia anaiongelea Ritz Adiosamigo mdogoye adriz hata kama ataiona sehemu lazima ataipotosha kwanza ndipo anawaletea. Hata sasa hivi wakiona habari hii wataumia mno!!!!Wadau hamjamboni nyote?
The Trump administration is working on a plan to permanently relocate as much as one million Palestinians from the Gaza Strip to Libya, NBC News reports, citing five people with knowledge of the matter.
The plan is under serious enough consideration that the US has discussed it with Libya’s leadership, the report says.
In exchange for resettling the Palestinians, the administration would release to Libya billions of dollars of funds the US froze more than a decade ago, NBC adds
Kuna tofouti kati ya Hamas na raia wa kawaida. Hamas hawatoki Gaza we nenda kale nguruwe njombe ili uzidi kukosa akili.Ngoja waamke kutoka usingizini watabwatuka weeee na kutoa maneno ya ajabu!!
Kuna jemba moja sijui ilikuwa imekuwa Maharage ya jana ilisema “ wapalestina hawawezi kuhama” najua akisoma habari hizi atapata aibu sana. Adiosamigo mdogoye wenzenu sasa wanajiandaa kwenda Libya!!!
Kumbe umeamka kaeni kwa kutulia watu Million moja si mchezo acha raia wema watoke ili magaidi washughulikiwe vizuri!!Kuna tofouti kati ya Hamas na raia wa kawaida. Hamas hawatoki Gaza we nenda kale nguruwe njombe ili uzidi kukosa akili.
Sawa we endelea kuota kama Hamas mtawashinda. Hamas ni level ingine we watu wanatumia silaha za.kila aina na leo miaka 2 hawajui lini watamaliza vita.Kumbe umeamka kaeni kwa kutulia watu Million moja si mchezo acha raia wema watoke ili magaidi washughulikiwe vizuri!!
Miaka 2 ya wapi? Oct 07,2023 mpaka leo ni miaka 2 ? Unahesabu kiarabu?Sawa we endelea kuota kama Hamas mtawashinda. Hamas ni level ingine we watu wanatumia silaha za.kila aina na leo miaka 2 hawajui lini watamaliza vita.
Kwann waondoshwe kwao??Habari kama hii huwezi kuisikia anaiongelea Ritz Adiosamigo mdogoye adriz hata kama ataiona sehemu lazima ataipotosha kwanza ndipo anawaletea. Hata sasa hivi wakiona habari hii wataumia mno!!!!
Kwa maoni yangu bora tu waondoke Gaza maana wameiharibu sana si sehem salama kuishi tena bora tu waende kwenye Makao mapya huko Libya mbali na adui yao Mkuu Israel na kama ni Ugaidi basi wakaufanyie huko!!
Kuna tofouti kati ya Hamas na raia wa kawaida. Hamas hawatoki Gaza we nenda kale nguruwe njombe ili uzidi kukosa akili.
Wewe ni mgeni na habari za hao magaidi? Umeanza kusikia leo habari hizi za kuondoshwa kwao?Kwann waondoshwe kwao??
Wakibaki Hamas tu mbona watakuwa wamemrahisishia kazi mtoa rohoKuna tofouti kati ya Hamas na raia wa kawaida. Hamas hawatoki Gaza we nenda kale nguruwe njombe ili uzidi kukosa akili.
Wew hujui ugumu wa ile vita unaletwa na nn? Unazani hiyo hali itaendelea? Wamedanganywa na Trump wamwachie mateka Edon ili Marekani awashinikize Israel matokeo yake mateka kaachiwa akaenda kupeleka taarifa zote za mafichoni.Sawa we endelea kuota kama Hamas mtawashinda. Hamas ni level ingine we watu wanatumia silaha za.kila aina na leo miaka 2 hawajui lini watamaliza vita.
Acha raia wema wasepe, hao hamas wabaki wenyewe vyuma vizito vizito vishushwe bila kubagua gaza igeuzwe juu chini, ikiwezekana gaza yote ipigwe na silaha za maangamizi na sumu kila kiumbe kilichosalia kigeuzwe majivu ianze upya..Kuna tofouti kati ya Hamas na raia wa kawaida. Hamas hawatoki Gaza we nenda kale nguruwe njombe ili uzidi kukosa akili.
Kwanini Waisrael wasiende? Wao si ndiyo wana shida na mahala pa kuishi!Ardhi imejaa majangwani huko yanini kubanana hapo Gaza?
Waende huko wakajitwalie mapande makubwa ya ardhi walime, wafuge, wazaliane waongezeke may be 400 years later mungu wao atawarudisha Gaza.
Wapalestina ndiyo wanaenda huko wewe unataka kulazimisha na waisrael waende huko? Wapalestina wakienda yatosha!!!!Kwanini Waisrael wasiende? Wao si ndiyo wana shida na mahala pa kuishi!