Mbona hilo linawezekana kabisa mpaka sasa hizi zaidi ya vibaka 5,000 walishamia ughaibuni kwa hiari yao wenyewe!!Hilo haliwezi kufanikiwa kwa sababu wagaza hawataki kuondoka ktk ardhi yao takatifu.
Mbona hilo linawezekana kabisa mpaka sasa hizi zaidi ya vibaka 5,000 walishamia ughaibuni kwa hiari yao wenyewe!!
Hao ni kati ya waliotangulia wengine watafuata tu watake wasitake!!Watu 5000 hawajazi hata jukwaa moja la kwa mkapa hapo, wachache sana hao.
Chukua panga na mshale ukawatetee wapalestina wasiondoke israel..Kwanini Waisrael wasiende? Wao si ndiyo wana shida na mahala pa kuishi!
Hao ni kati ya waliotangulia wengine watafuata tu watake wasitake!!
Lakini kiukweli Gaza si salama kwa kuishi watu bora tu waende Libya wakaishi kama raia wema!!
Habari ya ardhi takatifu ni geresha ya wazungu ili watutawale sisi tulioletwa dini. habari ya kuwa na gesi baharini ni sawa. Habari ya Msikiti wa Al-Aqsa haiwezi kuwafanya waendelee kufa kwa ajili ya msikiti, unaweza kuvunjwa muda wowote na wahuni kama ambavyo hekalu takatifu zaidi la Suleiman ilivyovunjwa na wahuni kutoka babiloni ukaja kumaliziiwa na wahuni kutoka Roma. Hilo la Wapalestina kufanyiwa dhulma katika ardhi yao ni sawa kabisa maana hata kwa kutumia maandiko haya haya ya dini ya Wakaloni Gaza haijawahi kuwa chini ya Wayahudi katika Mgawanyo alioelekezwa Musa na Joshua. waliambiwa Gaza inabaki kwa Wafilisti. Ile ni ardhi halali ya wapalestina. Lakini dunia ya Mabeberu imewasaliti na inafanya kila juhudi ardhi ya Wapalestina iende kwa baberu mwenzao.Hawawezi kukubali kuiacha Gaza kwa sababu zifuatazo
1. Ardhi ile ni ardhi takatifu, hawawezi kuacha dhahabu kwa kipande cha chupa
2. Gaza kuna utajiri wa gesi baharini, kamwe hawawezi kuachia utajiri huo kwenda ukimbizini.
3. Kuna Masjid Al-Aqsa pale, kamwe hawawezi kuuacha, Majority wako radhi kufa kuliko kuuacha huo msikiti.
4. Wapalestina wanaamini hata wakiuliwa kwa dhulma, wanaenda peponi. Wameshauliwa sana, wamezoea na wako tayari kufa. Watu wa aina hiyo usidhani wana mzuka kiviiile wa kukimbia nchi yao.
5. Huu ukatili wa Wayahudi kwa Wapalestina unakaribia kubackfire kwa Wayahudi, dunia inaona, mwamko ni mkubwa, pubkic opinion marekani ibabadilika, na Marekani kuendelea kuikingia kifua Wauaji wa Kiyahudi ni unsustainable.
Hii ya kuhamisha Wapalestina ni mpango mfu hautojwenda popote!
Kwani ao Wapalestina wanaenda kwa kutaka wenyewe? si wanalazimishwa lazima waondoke wapishe makazi ya walowezi?Wapalestina ndiyo wanaenda huko wewe unataka kulazimisha na waisrael waende huko? Wapalestina wakienda yatosha!!!!
Mtoto akizaliwa au mtu akianzia kazi ana hesabiwa mwaka alio anza kazi au mwaka aliye zaliwa ha hesabiwi mwezi. OK we kwa kuwa kenge hesabu imebaki miezi mitano Tuna kupa mwaka zaidi tuone kama Gaza mtaiweza kuitawala.Miaka 2 ya wapi? Oct 07,2023 mpaka leo ni miaka 2 ? Unahesabu kiarabu?
😂😂 Maana wanauchungu sana kuliko hata ndugu zao wa karibu wasudan na wacongoNdugu zao katika imani wa Simiyu wameshirikishwa? Wasije wakatujazia server
Ndio inatakiwaKuna tofouti kati ya Hamas na raia wa kawaida. Hamas hawatoki Gaza we nenda kale nguruwe njombe ili uzidi kukosa akili.
Ongeza na pale gaza wanapewa chakula bure na mahspital bure shule bure na wana shirika lao spesho la misaada kwa ajili yao laitwa unrwa huko watakako pelekwa itabidi wafanye kazi ili kupata mahtaji yao.kwahyo changamoto ipo waziHawawezi kukubali kuiacha Gaza kwa sababu zifuatazo