mswaki mbuyu
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 708
- 445
Quran si plan B ya Papa vipi sasa uikubali na ni forgery tupu...tukuelewe kwa jibu lipi..yani Quran pekee yake ndo iseme waisraeli kwao ni wapi...lkn ishndwe kusema hata Saudia kwao ni wapi na ilhali imeandikwa kiarabu...sembuse hata Palestine?Quran inawatambua kwao ni wapi? Waende kwa ndugu zao waarabu
Taja kipengele ambacho quran kwa upande wako ambao unahisi imejichanganyaHiyo Quran imejichanganya kwenye mambo mengi sana, yaani huyo muarabu angekaa aisome kwanza kabla kuja kuachia kipindi anabuni uislamu wake
Nimekua nafuatilia mwalimu Ndacha anavowaumbua waislamu hadi huruma, kama Kuna mwenye akili alipaswa auhame, sema Huwa wamekamatwa na majini hata uwaambie nini hawatakuelewa
Mwache kwnz amsikilize mwalimu Ndacha inawezekana akamwambia waraka wa Papa Francis lazima aufuateTaja kipengele ambacho quran kwa upande wako ambao unahisi imejichanganya
Hana hicho kipengele,anaimba tu,hata kiranga huwa anaimba hivyohivyoTaja kipengele ambacho quran kwa upande wako ambao unahisi imejichanganya
Kwani huo waraka ndio Biblia? Yeye katoa maandiko ndani ya quaran, na wewe lete maandiko ndani ya Biblia yake sio mambo ya waraka wa Papa ambao ni kama gazeti tu.Wewe ukiukubali waraka wa Papa Francis wabarikiwe LGBT nahama uislam..
Unapingana na kilichoandikwa? Nawe waamini Ouran ni neno la mwenyezi Mungu? Wewe bwana wewe hata ingekuuwa milioni miaka bado neno la Mungu liheshimiweSasa mvamizi hana kwao?...halafu huyo huyo mvamizi unambembeleza akupushe mjengee makazi mazuri...huo sasa sio ukimbizi tena tokea Mussa mpk Yesu hawajulikani kwao ni wapi?
Hilo swali ndo ungejiuliza wewe kwani weeh Quran huipingi kabisaa unaikubali yote au unakubali kipande hicho tuu cha aya?Unapingana na kilichoandikwa? Nawe waamini Ouran ni neno la mwenyezi Mungu? Wewe bwana wewe hata ingekuuwa milioni miaka bado neno la Mungu liheshimiwe
Unaikubali Quran yote au hii aya pekee yake?..yanii leo hii mgalatia umejiokota okota huko ndo umeilewa hiyo ayaKwani huo waraka ndio Biblia? Yeye katoa maandiko ndani ya quaran, na wewe lete maandiko ndani ya Biblia yake sio mambo ya waraka wa Papa ambao ni kama gazeti tu.
SIO KWELIKwa mujibu wa Quran Wana wa israel ni race na si dini, Quran inasema musa ni mtume wa Allah na ni muislam na si myahudi,kwa misingi ya Quran uyahudi ni imani/dini,kwa hivyo netanyahu na wayahudi wenzie ambao ni wazungu wa poland na ukraine siyo Wana wa israel na hawahusiki na hizo aya za Quran,hata DNA zao siyo za kisemitiki(semitic)
Unajua mambo ya Divide and Rule ?Papa aanzishe dini inayopinga dini yake,Ili iweje!?..halafu baada ya hapo ahangaike kupambana nayo!?..huwa mnatafakar!?
kama Quran imeshasema Waisraeli hapo ni kwao walipewa Ardhi,Unaikubali Quran yote au hii aya pekee yake?..yanii leo hii mgalatia umejiokota okota huko ndo umeilewa hiyo aya
Yanii Quran pekee yake ndo iseme hapo ndo kwa waisraeli halafu mie tena nitafute kwny biblia hivi weeh unajielewa kweli?...mgalatia hebu punguza munkari yanii Quran ndo imeonyesha kwa waisraeli lkn ishndw hata kusema waarabu wa Saudia kwenu ni hapa sembuse wapelistina tena kwa kiarabu hicho hicho...haya si mnaijua Quran vzr si mlete aya inayosema wapelistina kwao wapi..dunia nzima wapelistina pekee yao ndo hawana kwao yanii viumbe vyote alivyoumba mwenyezimungu duniani ni mpalestina tu ndo hana kwao yanii wanashndwa hata na mende
Kama wapalestina ni wavamizi Yacob ni uzao wa nani ?Kwa mujibu wa Quran Tukufu WALIOPEWA hiyo Ardhi ni Wana wa Israel,hakuna mahali Quran inawatambua WAPALESTINA,kama Kuna Aya zipo nitaomba nisaidiwe maana elimu ni Bahari
Hebu tuangalie Quran inasemaje kuhusu Ardhi kuwa ni ya Wana wa Israeli .
Uislamu Huwa unakwama kwenye historia tu ambayo mara kadhaa imekuwa ikiwaumbua
1. Surat Al-A'raf (7:137)
وَأَوْرَثْنَا الْقَوْمَ الَّذِينَ كَانُوا يُسْتَضْعَفُونَ مَشَارِقَ الْأَرْضِ وَمَغَارِبَهَا الَّتِي بَارَكْنَا فِيهَا ۖ وَتَمَّتْ كَلِمَةُ رَبِّكَ الْحُسْنَىٰ عَلَىٰ بَنِي إِسْرَائِيلَ بِمَا صَبَرُوا ۖ وَدَمَّرْنَا مَا كَانَ يَصْنَعُ فِرْعَوْنُ وَقَوْمُهُ وَمَا كَانُوا يَعْرِشُونَ
"Na tukawarithisha watu waliokuwa wakidharauliwa, mashariki ya ardhi na magharibi yake, ambayo tumebariki ndani yake. Na neno zuri la Mola wako Mlezi likatimia juu ya Wana wa Israel, kwa vile walivyosubiri. Na tukaharibu kabisa waliokuwa wakiyatenda Firauni na watu wake na walizokuwa wakizijenga."
2. Surat Al-Isra (17:104)
وَقُلْنَا مِنْ بَعْدِهِ لِبَنِي إِسْرَائِيلَ اسْكُنُوا الْأَرْضَ فَإِذَا جَاءَ وَعْدُ الْآخِرَةِ جِئْنَا بِكُمْ لَفِيفًا
"Na baada yake tukawaambia Wana wa Israel: Kaeni katika ardhi. Na utakapokuja ahadi ya Akhera tutakuleteni nyote pamoja (kutoka sehemu mbalimbali)."
3. Surat Al-Baqara (2:47)
يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ اذْكُرُوا نِعْمَتِيَ الَّتِي أَنْعَمْتُ عَلَيْكُمْ وَأَنِّي فَضَّلْتُكُمْ عَلَى الْعَالَمِينَ
"Enyi Wana wa Israel! Kumbukeni neema yangu niliyokuneemesheni, na kwamba niliwafadhilisha juu ya walimwengu."
4. Surat Al-Baqara (2:122)
يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ اذْكُرُوا نِعْمَتِيَ الَّتِي أَنْعَمْتُ عَلَيْكُمْ وَأَنِّي فَضَّلْتُكُمْ عَلَى الْعَالَمِينَ
"Enyi Wana wa Israel! Kumbukeni neema yangu niliyokuneemesheni, na kwamba niliwafadhilisha juu ya walimwengu."
5. Surat Al-Ma'idah (5:24-26)
Aya hizi zinaeleza jinsi Wana wa Israel walivyokataa kuingia katika ardhi hiyo kwa hofu ya watu waliokuwa wakiishi humo, na adhabu yao ya kupotea kwa miaka 40 jangwani:
قَالُوا يَا مُوسَىٰ إِنَّ فِيهَا قَوْمًا جَبَّارِينَ وَإِنَّا لَن نَّدْخُلَهَا حَتَّىٰ يَخْرُجُوا مِنْهَا فَإِن يَخْرُجُوا مِنْهَا فَإِنَّا دَاخِلُونَ قَالَ رَجُلَانِ مِنَ الَّذِينَ يَخَافُونَ أَنْعَمَ اللَّهُ عَلَيْهِمَا ادْخُلُوا عَلَيْهِمُ الْبَابَ فَإِذَا دَخَلْتُمُوهُ فَإِنَّكُمْ غَالِبُونَ ۖ وَعَلَى اللَّهِ فَتَوَكَّلُوا إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ قَالُوا يَا مُوسَىٰ إِنَّا لَن نَّدْخُلَهَا أَبَدًا مَّا دَامُوا فِيهَا فَاذْهَبْ أَنتَ وَرَبُّكَ فَقَاتِلَا إِنَّا هَاهُنَا قَاعِدُونَ قَالَ فَإِنَّهَا مُحَرَّمَةٌ عَلَيْهِمْ أَرْبَعِينَ سَنَةً يَتِيهُونَ فِي الْأَرْضِ فَلَا تَأْسَ عَلَى الْقَوْمِ الْفَاسِقِينَ
("Wakasema: Ewe Musa! Hakika humo mna watu wenye nguvu na sisi hatutaingia humo mpaka wao watoke humo. Wakishatoka, basi tutaingia. Watu wawili miongoni mwao waliomuogopa Mwenyezi Mungu na ambao Mwenyezi Mungu amewaneemesha walisema: Waingilieni kwa kupitia mlango, mtakapoingia humo mtakuwa washindi. Na kwa Mwenyezi Mungu mtegemee ikiwa nyinyi ni waumini. Wakasema: Ewe Musa! Hatutaingia humo kamwe maadamu wao wamo. Basi nenda wewe na Mola wako mpigane, sisi tunakaa hapa. Musa akasema: Hakika ardhi hiyo imeharamishwa kwao kwa muda wa miaka arubaini, watatangatanga katika ardhi. Basi usiwaonee huruma hao watu wapotovu.")
Aya hizi zinaeleza historia ya Wana wa Israel na ardhi waliyopewa ,hivo WAPALESTINA ni wavamizi
Tupe Aya au maandiko kuwa hiyo Ardhi walirudishiwa hao WAPALESTINAUnajua maana ya kukhasirika?..ni kupata hasara(minus-kuondokewa) ikiwa watarudi nyuma,sasa walirudi nyuma au waliingia?.. palikua na watu kwenye huo mji au laa?
Tuambie kwanza Quran inaongopa maana inasemaKama wapalestina ni wavamizi Yacob ni uzao wa nani ?
Mimi sijui lolote kuhusu hiyo Quran sio muumini wa dini hiyo.Tuambie kwanza Quran inaongopa maana inasema
Ardhi Iliyobarikiwa kwa Wana wa Israel kwa Masharti
Surat Al-Ma'idah (5:21)
يَا قَوْمِ ادْخُلُوا الْأَرْضَ الْمُقَدَّسَةَ الَّتِي كَتَبَ اللَّهُ لَكُمْ وَلَا تَرْتَدُّوا عَلَىٰ أَدْبَارِكُمْ فَتَنقَلِبُوا خَاسِرِينَ
"Enyi watu wangu! Ingieni katika ardhi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni, wala msirudi nyuma mkageuka kuwa wenye hasara."
JE WAPI QURAN INAWATAJA WAPALESTINA?
je waliingia au waliasi hiyo amri?Tuambie kwanza Quran inaongopa maana inasema
Ardhi Iliyobarikiwa kwa Wana wa Israel kwa Masharti
Surat Al-Ma'idah (5:21)
يَا قَوْمِ ادْخُلُوا الْأَرْضَ الْمُقَدَّسَةَ الَّتِي كَتَبَ اللَّهُ لَكُمْ وَلَا تَرْتَدُّوا عَلَىٰ أَدْبَارِكُمْ فَتَنقَلِبُوا خَاسِرِينَ
"Enyi watu wangu! Ingieni katika ardhi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni, wala msirudi nyuma mkageuka kuwa wenye hasara."
JE WAPI QURAN INAWATAJA WAPALESTINA?
Israel wameasi mara nyingi tu Hadi kupelekwa utumwani zaidi ya mara mojaje waliingia au waliasi hiyo amri?