Kwani Malaria 2 anasemajeMi naona umeshinda kwa hoja na dini yako iko sahihi kwenye kila kitu sie wengine tuachen na upotevu wetu
Hawajaungana na mleta mada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Malaria 2 anasemajeMi naona umeshinda kwa hoja na dini yako iko sahihi kwenye kila kitu sie wengine tuachen na upotevu wetu
Leta aya chief tumalizeAya zinathibitisha kuwa Waisrael ni wavamizi , walikuta watu na maisha yao
OhoooKwa mujibu wa Quran Tukufu WALIOPEWA hiyo Ardhi ni Wana wa Israel,hakuna mahali Quran inawatambua WAPALESTINA,kama Kuna Aya zipo nitaomba nisaidiwe maana elimu ni Bahari
Hebu tuangalie Quran inasemaje kuhusu Ardhi kuwa ni ya Wana wa Israeli .
Uislamu Huwa unakwama kwenye historia tu ambayo mara kadhaa imekuwa ikiwaumbua
1. Surat Al-A'raf (7:137)
وَأَوْرَثْنَا الْقَوْمَ الَّذِينَ كَانُوا يُسْتَضْعَفُونَ مَشَارِقَ الْأَرْضِ وَمَغَارِبَهَا الَّتِي بَارَكْنَا فِيهَا ۖ وَتَمَّتْ كَلِمَةُ رَبِّكَ الْحُسْنَىٰ عَلَىٰ بَنِي إِسْرَائِيلَ بِمَا صَبَرُوا ۖ وَدَمَّرْنَا مَا كَانَ يَصْنَعُ فِرْعَوْنُ وَقَوْمُهُ وَمَا كَانُوا يَعْرِشُونَ
"Na tukawarithisha watu waliokuwa wakidharauliwa, mashariki ya ardhi na magharibi yake, ambayo tumebariki ndani yake. Na neno zuri la Mola wako Mlezi likatimia juu ya Wana wa Israel, kwa vile walivyosubiri. Na tukaharibu kabisa waliokuwa wakiyatenda Firauni na watu wake na walizokuwa wakizijenga."
2. Surat Al-Isra (17:104)
وَقُلْنَا مِنْ بَعْدِهِ لِبَنِي إِسْرَائِيلَ اسْكُنُوا الْأَرْضَ فَإِذَا جَاءَ وَعْدُ الْآخِرَةِ جِئْنَا بِكُمْ لَفِيفًا
"Na baada yake tukawaambia Wana wa Israel: Kaeni katika ardhi. Na utakapokuja ahadi ya Akhera tutakuleteni nyote pamoja (kutoka sehemu mbalimbali)."
3. Surat Al-Baqara (2:47)
يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ اذْكُرُوا نِعْمَتِيَ الَّتِي أَنْعَمْتُ عَلَيْكُمْ وَأَنِّي فَضَّلْتُكُمْ عَلَى الْعَالَمِينَ
"Enyi Wana wa Israel! Kumbukeni neema yangu niliyokuneemesheni, na kwamba niliwafadhilisha juu ya walimwengu."
4. Surat Al-Baqara (2:122)

5. Surat Al-Ma'idah (5:24-26)
Aya hizi zinaeleza jinsi Wana wa Israel walivyokataa kuingia katika ardhi hiyo kwa hofu ya watu waliokuwa wakiishi humo, na adhabu yao ya kupotea kwa miaka 40 jangwani:
قَالُوا يَا مُوسَىٰ إِنَّ فِيهَا قَوْمًا جَبَّارِينَ وَإِنَّا لَن نَّدْخُلَهَا حَتَّىٰ يَخْرُجُوا مِنْهَا فَإِن يَخْرُجُوا مِنْهَا فَإِنَّا دَاخِلُونَ قَالَ رَجُلَانِ مِنَ الَّذِينَ يَخَافُونَ أَنْعَمَ اللَّهُ عَلَيْهِمَا ادْخُلُوا عَلَيْهِمُ الْبَابَ فَإِذَا دَخَلْتُمُوهُ فَإِنَّكُمْ غَالِبُونَ ۖ وَعَلَى اللَّهِ فَتَوَكَّلُوا إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ قَالُوا يَا مُوسَىٰ إِنَّا لَن نَّدْخُلَهَا أَبَدًا مَّا دَامُوا فِيهَا فَاذْهَبْ أَنتَ وَرَبُّكَ فَقَاتِلَا إِنَّا هَاهُنَا قَاعِدُونَ قَالَ فَإِنَّهَا مُحَرَّمَةٌ عَلَيْهِمْ أَرْبَعِينَ سَنَةً يَتِيهُونَ فِي الْأَرْضِ فَلَا تَأْسَ عَلَى الْقَوْمِ الْفَاسِقِينَ
("Wakasema: Ewe Musa! Hakika humo mna watu wenye nguvu na sisi hatutaingia humo mpaka wao watoke humo. Wakishatoka, basi tutaingia. Watu wawili miongoni mwao waliomuogopa Mwenyezi Mungu na ambao Mwenyezi Mungu amewaneemesha walisema: Waingilieni kwa kupitia mlango, mtakapoingia humo mtakuwa washindi. Na kwa Mwenyezi Mungu mtegemee ikiwa nyinyi ni waumini. Wakasema: Ewe Musa! Hatutaingia humo kamwe maadamu wao wamo. Basi nenda wewe na Mola wako mpigane, sisi tunakaa hapa. Musa akasema: Hakika ardhi hiyo imeharamishwa kwao kwa muda wa miaka arubaini, watatangatanga katika ardhi. Basi usiwaonee huruma hao watu wapotovu.")
Aya hizi zinaeleza historia ya Wana wa Israel na ardhi waliyopewa ,hivo WAPALESTINA ni wavamizi
Alizotoa mtoa thread hujasoma?Leta aya chief tumalize
Aya zinathibitisha kuwa Waisrael ni wavamizi , walikuta watu na maisha yao
Nimesoma mkuu, kwani wewe unaelewaje kwenye hizo, zinasema Gaza ndio warithi au mayahudiAlizotoa mtoa thread hujasoma?
Unajua kusoma ?Alizotoa mtoa thread hujasoma?
Mbona unajichanganya sana na hizi aya, huyo aliekuambia kwamba hizi aya zinazungumzai Palestina kuvamia Israeli,amekulisha matango pori ya Kutosha.Kwa mujibu wa Quran Tukufu WALIOPEWA hiyo Ardhi ni Wana wa Israel,hakuna mahali Quran inawatambua WAPALESTINA,kama Kuna Aya zipo nitaomba nisaidiwe maana elimu ni Bahari
Hebu tuangalie Quran inasemaje kuhusu Ardhi kuwa ni ya Wana wa Israeli .
Uislamu Huwa unakwama kwenye historia tu ambayo mara kadhaa imekuwa ikiwaumbua
1. Surat Al-A'raf (7:137)
وَأَوْرَثْنَا الْقَوْمَ الَّذِينَ كَانُوا يُسْتَضْعَفُونَ مَشَارِقَ الْأَرْضِ وَمَغَارِبَهَا الَّتِي بَارَكْنَا فِيهَا ۖ وَتَمَّتْ كَلِمَةُ رَبِّكَ الْحُسْنَىٰ عَلَىٰ بَنِي إِسْرَائِيلَ بِمَا صَبَرُوا ۖ وَدَمَّرْنَا مَا كَانَ يَصْنَعُ فِرْعَوْنُ وَقَوْمُهُ وَمَا كَانُوا يَعْرِشُونَ
"Na tukawarithisha watu waliokuwa wakidharauliwa, mashariki ya ardhi na magharibi yake, ambayo tumebariki ndani yake. Na neno zuri la Mola wako Mlezi likatimia juu ya Wana wa Israel, kwa vile walivyosubiri. Na tukaharibu kabisa waliokuwa wakiyatenda Firauni na watu wake na walizokuwa wakizijenga."
2. Surat Al-Isra (17:104)
وَقُلْنَا مِنْ بَعْدِهِ لِبَنِي إِسْرَائِيلَ اسْكُنُوا الْأَرْضَ فَإِذَا جَاءَ وَعْدُ الْآخِرَةِ جِئْنَا بِكُمْ لَفِيفًا
"Na baada yake tukawaambia Wana wa Israel: Kaeni katika ardhi. Na utakapokuja ahadi ya Akhera tutakuleteni nyote pamoja (kutoka sehemu mbalimbali)."
3. Surat Al-Baqara (2:47)
يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ اذْكُرُوا نِعْمَتِيَ الَّتِي أَنْعَمْتُ عَلَيْكُمْ وَأَنِّي فَضَّلْتُكُمْ عَلَى الْعَالَمِينَ
"Enyi Wana wa Israel! Kumbukeni neema yangu niliyokuneemesheni, na kwamba niliwafadhilisha juu ya walimwengu."
4. Surat Al-Baqara (2:122)
يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ اذْكُرُوا نِعْمَتِيَ الَّتِي أَنْعَمْتُ عَلَيْكُمْ وَأَنِّي فَضَّلْتُكُمْ عَلَى الْعَالَمِينَ
"Enyi Wana wa Israel! Kumbukeni neema yangu niliyokuneemesheni, na kwamba niliwafadhilisha juu ya walimwengu."
5. Surat Al-Ma'idah (5:24-26)
Aya hizi zinaeleza jinsi Wana wa Israel walivyokataa kuingia katika ardhi hiyo kwa hofu ya watu waliokuwa wakiishi humo, na adhabu yao ya kupotea kwa miaka 40 jangwani:
قَالُوا يَا مُوسَىٰ إِنَّ فِيهَا قَوْمًا جَبَّارِينَ وَإِنَّا لَن نَّدْخُلَهَا حَتَّىٰ يَخْرُجُوا مِنْهَا فَإِن يَخْرُجُوا مِنْهَا فَإِنَّا دَاخِلُونَ قَالَ رَجُلَانِ مِنَ الَّذِينَ يَخَافُونَ أَنْعَمَ اللَّهُ عَلَيْهِمَا ادْخُلُوا عَلَيْهِمُ الْبَابَ فَإِذَا دَخَلْتُمُوهُ فَإِنَّكُمْ غَالِبُونَ ۖ وَعَلَى اللَّهِ فَتَوَكَّلُوا إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ قَالُوا يَا مُوسَىٰ إِنَّا لَن نَّدْخُلَهَا أَبَدًا مَّا دَامُوا فِيهَا فَاذْهَبْ أَنتَ وَرَبُّكَ فَقَاتِلَا إِنَّا هَاهُنَا قَاعِدُونَ قَالَ فَإِنَّهَا مُحَرَّمَةٌ عَلَيْهِمْ أَرْبَعِينَ سَنَةً يَتِيهُونَ فِي الْأَرْضِ فَلَا تَأْسَ عَلَى الْقَوْمِ الْفَاسِقِينَ
("Wakasema: Ewe Musa! Hakika humo mna watu wenye nguvu na sisi hatutaingia humo mpaka wao watoke humo. Wakishatoka, basi tutaingia. Watu wawili miongoni mwao waliomuogopa Mwenyezi Mungu na ambao Mwenyezi Mungu amewaneemesha walisema: Waingilieni kwa kupitia mlango, mtakapoingia humo mtakuwa washindi. Na kwa Mwenyezi Mungu mtegemee ikiwa nyinyi ni waumini. Wakasema: Ewe Musa! Hatutaingia humo kamwe maadamu wao wamo. Basi nenda wewe na Mola wako mpigane, sisi tunakaa hapa. Musa akasema: Hakika ardhi hiyo imeharamishwa kwao kwa muda wa miaka arubaini, watatangatanga katika ardhi. Basi usiwaonee huruma hao watu wapotovu.")
Aya hizi zinaeleza historia ya Wana wa Israel na ardhi waliyopewa ,hivo WAPALESTINA ni wavamizi
Hii haina maana hawakuwa wavamizi, hawa ni wavamiziSurat Al-Baqarah (2:122)
يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ اذكرُوا نِعْمَتِيَ الَّتِي أَنْعَمْتُ عَلَيْكُمْ وَأَنِّي فَضَّلْتُكُمْ عَلَى الْعَالَمِينَ
"Enyi Wana wa Israel! Kumbukeni neema yangu niliowapa ninyi, na kuwa mimi niliwafadhilisha juu ya walimwengu."
Aya hii inathibitisha kwamba Wana wa Israel walifadhiliwa na Mwenyezi Mungu, na inasisitiza kuwa walikuwa na cheo cha kipekee na nafasi ya mbaraka. Kwa tafsiri moja, hii inaweza kueleza kuwa walikuwa na haki ya ardhi hiyo
Allah wako anawatambua wenye Ardhi ni IsraelMbona unajichanganya sana na hizi aya, huyo aliekuambia kwamba hizi aya zinazungumzai Palestina kuvamia Israeli,amekulisha matango pori ya Kutosha.
Onyesha aya katika Qurani inayoonyesha Palestina ilikuwa tofauti na hapo ilipo sasa ?
Kwa akili za kawaida,leo Uganda Waivamie Tanzania,halafu aje mtu aseme kuwa Raisi akawaambia watu wa Uganda,Ingieni Humo katika Nchi,Mkafurahie Maisha, Je Huyo mtu atakuwa kawaambia hao watu waingie Uganda au Waingie Tanzania ?
Fadhila za kuvamia maeneo ya watu, huo ni uvamiziUnajua kusoma ?
Surat Al-Baqarah (2:122)
يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ اذكرُوا نِعْمَتِيَ الَّتِي أَنْعَمْتُ عَلَيْكُمْ وَأَنِّي فَضَّلْتُكُمْ عَلَى الْعَالَمِينَ
"Enyi Wana wa Israel! Kumbukeni neema yangu niliowapa ninyi, na kuwa mimi niliwafadhilisha juu ya walimwengu."
Aya hii inathibitisha kwamba Wana wa Israel walifadhiliwa na Mwenyezi Mungu, na inasisitiza kuwa walikuwa na cheo cha kipekee na nafasi ya mbaraka. Kwa tafsiri moja, hii inaweza kueleza kuwa walikuwa na haki ya ardhi hiyo.
Wote ni wavamizi , unarithi vip wakati huna undugu na mwenye eneo?Nimesoma mkuu, kwani wewe unaelewaje kwenye hizo, zinasema Gaza ndio warithi au mayahudi
Unabishana na Allah?TUKUSIKILIZE WEWE mla Biriani au Allah?Hii haina maana hawakuwa wavamizi, hawa ni wavamizi
Kwahiyo Allah ni tapeli?Wote ni wavamizi , unarithi vip wakati huna undugu na mwenye eneo
Allah yuko wazi hao hawajazaliwa hapo ni wavamizi tuUnabishana na Allah?TUKUSIKILIZE WEWE mla Biriani au Allah?
Surat Al-Ma'idah (5:21), Nabii Musa anawaambia Wana wa Israel:
يَا قَوْمِ ادْخُلُوا الْأَرْضَ الْمُقَدَّسَةَ الَّتِي كَتَبَ اللَّهُ لَكُمْ
"Enyi watu wangu! Ingieni katika ardhi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni..."
Neno "كَتَبَ اللَّهُ لَكُمْ" (ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni) linaweza kufasiriwa kama haki ya milele ya Wana wa Israel juu ya ardhi hiyo, kwani Qur’an haitaji kuwa haki hiyo iliondolewa.
Kwahiyo Alaumiwe Allah si ndio ?Mbona unajichanganya sana na hizi aya, huyo aliekuambia kwamba hizi aya zinazungumzai Palestina kuvamia Israeli,amekulisha matango pori ya Kutosha.
Onyesha aya katika Qurani inayoonyesha Palestina ilikuwa tofauti na hapo ilipo sasa ?
Kwa akili za kawaida,leo Uganda Waivamie Tanzania,halafu aje mtu aseme kuwa Raisi akawaambia watu wa Uganda,Ingieni Humo katika Nchi,Mkafurahie Maisha, Je Huyo mtu atakuwa kawaambia hao watu waingie Uganda au Waingie Tanzania ?
Hakuna utapeli wewe ndio huelewi kuwa Israel hapo ni mvamizi sio kwao kwa asili chimbuko la babu yaoKwahiyo Allah ni tapeli?
Surat Al-Isra (17:104):
وَقُلْنَا مِن بَعْدِهِ لِبَنِي إِسْرَائِيلَ اسْكُنُوا الْأَرْضَ
"Na tukawaambia baada yake Wana wa Israel: Kaeni katika ardhi."
Kwahiyo Allah yupo sahihi kuwapa Ardhi ?🤣🤣Allah yuko wazi hao hawajazaliwa hapo ni wavamizi tu
Kwahiyo Allah alikosea kusema hivi?Hakuna utapeli wewe ndio huelewi kuwa Israel hapo ni mvamizi sio kwao kwa asili chimbuko la babu yao
Si unaona walikuta watu kwenye hizo aya ulizotoa,hao watu ni akina nani?..kama walivunja masharti ya kupewa hiyo nchi,kivipi bado unang'ang'ana ahadi bado ipo?..unadandia tu vitu toka mtandaoni bila tafakuriTupe Aya au maandiko kuwa hiyo Ardhi walirudishiwa hao WAPALESTINA
Ardhi Iliyobarikiwa kwa Wana wa Israel kwa Masharti
Surat Al-Ma'idah (5:21)
يَا قَوْمِ ادْخُلُوا الْأَرْضَ الْمُقَدَّسَةَ الَّتِي كَتَبَ اللَّهُ لَكُمْ وَلَا تَرْتَدُّوا عَلَىٰ أَدْبَارِكُمْ فَتَنقَلِبُوا خَاسِرِينَ
"Enyi watu wangu! Ingieni katika ardhi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni, wala msirudi nyuma mkageuka kuwa wenye hasara."