Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
HowTukamuabudu fundi seremala!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HowTukamuabudu fundi seremala!?
Kwakuwa umenukuu biblia nami nitakupeleka hukoKumbukumbu la Torati 16:20
"Yaliyo haki kabisa ndiyo utakayoyafuata, ili upate kuishi na kuirithi nchi upewayo na Bwana, Mungu wako."
Zaburi 37:29
"Waadilifu wataimiliki nchi, na wataishi humo milele."
Quran 21:105
Mungu anasema kuwa
"Na hakika tulikwisha andika katika Zaburi baada ya Kumbukumbu, ya kwamba nchi watairithi waja wangu walio wema."
Ardhi ya Palestine itarudi katika mikono ya Waislam
Endelea na inavyoelezea kilichofuata baada ya kupewaKwa mujibu wa Quran Tukufu WALIOPEWA hiyo Ardhi ni Wana wa Israel,hakuna mahali Quran inawatambua WAPALESTINA,kama Kuna Aya zipo nitaomba nisaidiwe maana elimu ni Bahari
Hebu tuangalie Quran inasemaje kuhusu Ardhi kuwa ni ya Wana wa Israeli .
Uislamu Huwa unakwama kwenye historia tu ambayo mara kadhaa imekuwa ikiwaumbua
1. Surat Al-A'raf (7:137)
وَأَوْرَثْنَا الْقَوْمَ الَّذِينَ كَانُوا يُسْتَضْعَفُونَ مَشَارِقَ الْأَرْضِ وَمَغَارِبَهَا الَّتِي بَارَكْنَا فِيهَا ۖ وَتَمَّتْ كَلِمَةُ رَبِّكَ الْحُسْنَىٰ عَلَىٰ بَنِي إِسْرَائِيلَ بِمَا صَبَرُوا ۖ وَدَمَّرْنَا مَا كَانَ يَصْنَعُ فِرْعَوْنُ وَقَوْمُهُ وَمَا كَانُوا يَعْرِشُونَ
"Na tukawarithisha watu waliokuwa wakidharauliwa, mashariki ya ardhi na magharibi yake, ambayo tumebariki ndani yake. Na neno zuri la Mola wako Mlezi likatimia juu ya Wana wa Israel, kwa vile walivyosubiri. Na tukaharibu kabisa waliokuwa wakiyatenda Firauni na watu wake na walizokuwa wakizijenga."
2. Surat Al-Isra (17:104)
وَقُلْنَا مِنْ بَعْدِهِ لِبَنِي إِسْرَائِيلَ اسْكُنُوا الْأَرْضَ فَإِذَا جَاءَ وَعْدُ الْآخِرَةِ جِئْنَا بِكُمْ لَفِيفًا
"Na baada yake tukawaambia Wana wa Israel: Kaeni katika ardhi. Na utakapokuja ahadi ya Akhera tutakuleteni nyote pamoja (kutoka sehemu mbalimbali)."
3. Surat Al-Baqara (2:47)
يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ اذْكُرُوا نِعْمَتِيَ الَّتِي أَنْعَمْتُ عَلَيْكُمْ وَأَنِّي فَضَّلْتُكُمْ عَلَى الْعَالَمِينَ
"Enyi Wana wa Israel! Kumbukeni neema yangu niliyokuneemesheni, na kwamba niliwafadhilisha juu ya walimwengu."
4. Surat Al-Baqara (2:122)
يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ اذْكُرُوا نِعْمَتِيَ الَّتِي أَنْعَمْتُ عَلَيْكُمْ وَأَنِّي فَضَّلْتُكُمْ عَلَى الْعَالَمِينَ
"Enyi Wana wa Israel! Kumbukeni neema yangu niliyokuneemesheni, na kwamba niliwafadhilisha juu ya walimwengu."
5. Surat Al-Ma'idah (5:24-26)
Aya hizi zinaeleza jinsi Wana wa Israel walivyokataa kuingia katika ardhi hiyo kwa hofu ya watu waliokuwa wakiishi humo, na adhabu yao ya kupotea kwa miaka 40 jangwani:
قَالُوا يَا مُوسَىٰ إِنَّ فِيهَا قَوْمًا جَبَّارِينَ وَإِنَّا لَن نَّدْخُلَهَا حَتَّىٰ يَخْرُجُوا مِنْهَا فَإِن يَخْرُجُوا مِنْهَا فَإِنَّا دَاخِلُونَ قَالَ رَجُلَانِ مِنَ الَّذِينَ يَخَافُونَ أَنْعَمَ اللَّهُ عَلَيْهِمَا ادْخُلُوا عَلَيْهِمُ الْبَابَ فَإِذَا دَخَلْتُمُوهُ فَإِنَّكُمْ غَالِبُونَ ۖ وَعَلَى اللَّهِ فَتَوَكَّلُوا إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ قَالُوا يَا مُوسَىٰ إِنَّا لَن نَّدْخُلَهَا أَبَدًا مَّا دَامُوا فِيهَا فَاذْهَبْ أَنتَ وَرَبُّكَ فَقَاتِلَا إِنَّا هَاهُنَا قَاعِدُونَ قَالَ فَإِنَّهَا مُحَرَّمَةٌ عَلَيْهِمْ أَرْبَعِينَ سَنَةً يَتِيهُونَ فِي الْأَرْضِ فَلَا تَأْسَ عَلَى الْقَوْمِ الْفَاسِقِينَ
("Wakasema: Ewe Musa! Hakika humo mna watu wenye nguvu na sisi hatutaingia humo mpaka wao watoke humo. Wakishatoka, basi tutaingia. Watu wawili miongoni mwao waliomuogopa Mwenyezi Mungu na ambao Mwenyezi Mungu amewaneemesha walisema: Waingilieni kwa kupitia mlango, mtakapoingia humo mtakuwa washindi. Na kwa Mwenyezi Mungu mtegemee ikiwa nyinyi ni waumini. Wakasema: Ewe Musa! Hatutaingia humo kamwe maadamu wao wamo. Basi nenda wewe na Mola wako mpigane, sisi tunakaa hapa. Musa akasema: Hakika ardhi hiyo imeharamishwa kwao kwa muda wa miaka arubaini, watatangatanga katika ardhi. Basi usiwaonee huruma hao watu wapotovu.")
Aya hizi zinaeleza historia ya Wana wa Israel na ardhi waliyopewa ,hivo WAPALESTINA ni wavamizi
Hao wapalestina ni watu wa imani gani,? Halafu jiulize ,Je hiyo imani inatambuliwa na ALLAH ama laa?Kwakuwa umenukuu biblia nami nitakupeleka huko
Japo mpaka sasa mmeshindwa kuleta hata andiko la kipande cha gazeti kuwa Allah anawatambua WAPALESTINA na hiyo Ardhi aliwapa WAPALESTINA
Surat Al-Isra (17:104)
وَقُلْنَا مِنۢ بَعْدِهِۦ لِبَنِىٓ إِسْرَٰٓءِيلَ ٱسْكُنُوا۟ ٱلْأَرْضَ فَإِذَا جَآءَ وَعْدُ ٱلْـَٔاخِرَةِ جِئْنَا بِكُمْ لَفِيفًۭا
"Na tukawaambia baada yake (Musa) Wana wa Israel: Kaeni katika ardhi. Na utakapofika ahadi ya mwisho, tutawakusanya nyote pamoja."
Kutoka 6:7-8
"Nami nitawatwaa ninyi kuwa watu wangu, nitakuwa Mungu wenu; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi Bwana, Mungu wenu, niwatoaye mtoke katika mizigo ya Wamisri. Nami nitawaleta mpaka nchi ile ambayo naliwaapia Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kwamba nitawapa iwe urithi wao; mimi ndimi Bwana."
Mungu anaendelea kuthibitisha kuwa ardhi ya Kanaani ni urithi wa Wana wa Israeli milele.
Zaburi 105:8-11
"Ametilia agano lake kumbukumbu milele, neno aliloliagiza kwa vizazi elfu, agano alilolifanya na Ibrahimu, na kiapo chake kwa Isaka, akakisimamisha kwa Yakobo kuwa amri, na kwa Israeli kuwa agano la milele, akisema, Nitakupa wewe nchi ya Kanaani, kuwa sehemu ya urithi wenu."
Hii ni mojawapo ya uthibitisho wa wazi kuwa ahadi ya ardhi kwa Wana wa Israeli ni ya milele.
Kwahiyo Allah ni tapeli?
Surat Al-Isra (17:104):
وَقُلْنَا مِن بَعْدِهِ لِبَنِي إِسْرَائِيلَ اسْكُنُوا الْأَرْضَ
"Na tukawaambia baada yake Wana wa Israel: Kaeni katika ardhi."
Soma kwa kuelewa umetaja Quran , nimekwambia AYA ina thibitisha kuwa Waisrael ni wavamizi kwa hoja yeyote ile kwasababu walikuta watu hapoKwahiyo Allah alikosea kusema hivi?
Surat Al-Isra (17:104):
وَقُلْنَا مِن بَعْدِهِ لِبَنِي إِسْرَائِيلَ اسْكُنُوا الْأَرْضَ
"Na tukawaambia baada yake Wana wa Israel: Kaeni katika ardhi..."
Ndio ila haindoi kuwa ni wavamizi ambao walitumia nguvu dhidi ya wenyejiKwahiyo Allah yupo sahihi kuwapa Ardhi ?🤣🤣
Surat Al-Isra (17:104):
وَقُلْنَا مِن بَعْدِهِ لِبَنِي إِسْرَائِيلَ اسْكُنُوا الْأَرْضَ
"Na tukawaambia baada yake Wana wa Israel: Kaeni katika ardhi..."
Yohana 4:22Je baada ya kufadhilishwa zaidi ya watu wengine walifanya mambo gani pindi walipoletewa mitume?
Shida hii hujui Quran kabisaa , itakuumbua vibaya mnoNilichogundua waislamu wengi ni maamuma ,hamjui jinsi Allah wenu anavyowatambua Wana wa Israel,
Allah wenu kwenye Quran hawajui WAPALESTINA
Hii mada hamuiwezi nileteeni Mufti mkuu
Katika Qur’an na Taurati, ardhi hiyo (Ardhi Takatifu) iliahidiwa kwa Bani Isra’il. Katika Qur’an 5:21, Musa anawaambia watu wake:Soma kwa kuelewa umetaja Quran , nimekwambia AYA ina thibitisha kuwa Waisrael ni wavamizi kwa hoja yeyote ile kwasababu walikuta watu hapo
QURAN 2:22
Wakasema:” Ewe Musa! Huko kuna watu majabari . Nasi HATUTAINGIA huko mpaka WATOKE humo; wakitoka humo hapo TUTAINGIA “
Uislamu umeanza mwaka 600s A.DView attachment 3228404
Hakika hii Qur'ani inaongoa kwenye ya yaliyo nyooka kabisa, na inawabashiria Waumini ambao wanatenda mema ya kwamba watapata malipo makubwa.
Aya zinazozungumzia hiyo nchi na ardhi unazozisema ndo hizi zimeizungumzia pia kuhusu Qurani kama unavyoona hapo juu, Je hao Waisraeli unaowatetea, ni Waislamu ?
Halafu unaweza kunukuu ayaat za Quran halafu ukawa huelewi chochote. Hiyo aya uliyoinukuu inaelezea jinsi ambavyo ALLAH amewakusanya mayahudi sehemu moja ili apate kuwafutilia mbali. Soma na aya ya sura 17:4-8 upate kuelewa vizuri.Kwakuwa umenukuu biblia nami nitakupeleka huko
Japo mpaka sasa mmeshindwa kuleta hata andiko la kipande cha gazeti kuwa Allah anawatambua WAPALESTINA na hiyo Ardhi aliwapa WAPALESTINA
Surat Al-Isra (17:104)
وَقُلْنَا مِنۢ بَعْدِهِۦ لِبَنِىٓ إِسْرَٰٓءِيلَ ٱسْكُنُوا۟ ٱلْأَرْضَ فَإِذَا جَآءَ وَعْدُ ٱلْـَٔاخِرَةِ جِئْنَا بِكُمْ لَفِيفًۭا
"Na tukawaambia baada yake (Musa) Wana wa Israel: Kaeni katika ardhi. Na utakapofika ahadi ya mwisho, tutawakusanya nyote pamoja."
Kutoka 6:7-8
"Nami nitawatwaa ninyi kuwa watu wangu, nitakuwa Mungu wenu; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi Bwana, Mungu wenu, niwatoaye mtoke katika mizigo ya Wamisri. Nami nitawaleta mpaka nchi ile ambayo naliwaapia Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kwamba nitawapa iwe urithi wao; mimi ndimi Bwana."
Mungu anaendelea kuthibitisha kuwa ardhi ya Kanaani ni urithi wa Wana wa Israeli milele.
Zaburi 105:8-11
"Ametilia agano lake kumbukumbu milele, neno aliloliagiza kwa vizazi elfu, agano alilolifanya na Ibrahimu, na kiapo chake kwa Isaka, akakisimamisha kwa Yakobo kuwa amri, na kwa Israeli kuwa agano la milele, akisema, Nitakupa wewe nchi ya Kanaani, kuwa sehemu ya urithi wenu."
Hii ni mojawapo ya uthibitisho wa wazi kuwa ahadi ya ardhi kwa Wana wa Israeli ni ya milele.
Soma 22 nini wayahudi walijibu HAWAWEZI kuingia mpaka wale wenyeji wao watoke mbona jambo lipo wazi sanaKatika Qur’an na Taurati, ardhi hiyo (Ardhi Takatifu) iliahidiwa kwa Bani Isra’il. Katika Qur’an 5:21, Musa anawaambia watu wake:
"Enyi watu wangu! Ingieni katika ardhi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekujaalieni, wala msirudi nyuma, mkageuka kuwa wenye kukhasirika."
Hii inaonyesha kuwa kwa mujibu wa Qur’an, ardhi hiyo ilikuwa imeahidiwa kwao na Mwenyezi Mungu.
Kwa mujibu wa Quran uislam ulianza toka kipindi cha nabii Adam a.s. Mwanadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa Muislam.Uislamu umeanza mwaka 600s A.D
HISTORIA haidanganyi
Hizi ni porojo za MuhammadHalafu unaweza kunukuu ayaat za Quran halafu ukawa huelewi chochote. Hiyo aya uliyoinukuu inaelezea jinsi ambavyo ALLAH amewakusanya mayahudi sehemu moja ili apate kuwafutilia mbali. Soma na aya ya sura 17:4-8 upate kuelewa vizuri.
Wayahudi waliacha imani sahihi ya kumuabudu ALLAH na wakaua sana mitume na mingine mingi wakaikataa...Sasa ALLAH amesema kuwa itakapofika ahadi ya mwisho (zama hizi za mwisho) atawakusanya wote sehemu moja na kitakachofata ni vita kubwa kati ya Waislam na Wayahudi na ndio itakuwa mwisho wa uyahudi na mayahudi hapa duniani.
Mtume Muhammad (pbuh) alisema kuwa hakitasimama Qiyama mpaka pale waislam watakapopambana na mayahudi. Itafikia mahali myahudi atakimbia kujificha nyuma ya jiwe ila jiwe litasema kumuita muislam kuwa nyuma yake amejificha myahudi.
Kwani katika Qurani au Biblia,kuna sehemu inaonyesha kuwa ardhi ya Tanganyika ndio Ardhi ya Tanzania,ukiletaNimekuomba Aya kuhusu kupewa WAPALESTINA,cha ajabu unapiga porojo tu
ushaanza kuchanganyikiwa sasa unaleta maneno ya muuaji wa wanafunzi wa Yesu (Paulo)Yohana 4:22
"Ninyi mwaabudu msichokijua; sisi twaabudu tukijua; kwa kuwa wokovu watoka kwa Wayahudi.
Warumi 3
1 Basi Myahudi ana ziada gani? Na kutahiriwa kwafaa nini?
2 Kwafaa sana kwa kila njia. Kwanza kwa kuwa wamekabidhiwa mausia ya Mungu.
3 Ni nini, basi, ikiwa baadhi yao hawakuamini? Je! Kutokuamini kwao kutaubatili uaminifu wa Mungu?
4 Hasha! Mungu aonekane kuwa amini na kila mtu mwongo; kama ilivyoandikwa, Ili ujulike kuwa una haki katika maneno yako, Ukashinde uingiapo katika hukumu.
Palestina ni jina la eneo sio jamii , ni kama watanzania tu ila ndani unakutana na watu tofauti kama wagogo , wangoni wenye historia tofauti kumbe huelewi kituNimekuomba Aya kuhusu kupewa WAPALESTINA,cha ajabu unapiga porojo tu