Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Hata ukimkataa Mtume wa Mungu...sisi tunamuamini pasi na chembe ya shaka yoyoteHizi ni porojo za Muhammad
Na wewe kabisa unaziamini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ukimkataa Mtume wa Mungu...sisi tunamuamini pasi na chembe ya shaka yoyoteHizi ni porojo za Muhammad
Na wewe kabisa unaziamini?
Basi umedanganywaKwa mujibu wa Quran uislam ulianza toka kipindi cha nabii Adam a.s. Mwanadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa Muislam.
Mitume yote ya Mungu walikuwa ni waislam
Muhammad hana tofauti na mwamposaHata ukimkataa Mtume wa Mungu...sisi tunamuamini pasi na chembe ya shaka yoyote
Wakati Mungu anawaambia wana wa Israeli wakae katika nchi,wakati huo wana wa Israeli walikuwa wapo katika nchi gani ?Uislamu umeanza mwaka 600s A.D
HISTORIA haidanganyi
🤣🤣🤣 moja kati ya kakipengele ambacho wengi hawapendi kukasikia, hata wakatoliki wenyewe hawawezi kuambiwa hichi kitu.Papa ndiye muanzilishi na Engineer wa dini ya Uislamu
Ukatoliki ndio walioanzisha uislamu wakimtumia Muhammad
Padre Waraq na bi Khadija aliyekuwa mkatoliki ndio waliompa utume Muhammad
Shida wewe huna elimuPalestina ni jina la eneo sio jamii , ni kama watanzania tu ila ndani unakutana na watu tofauti kama wagogo , wangoni wenye historia tofauti kumbe huelewi kitu
Upo sahihi ,wanaojua ni wale viongozi wa juu, Hawa wa chini hawaelewi🤣🤣🤣 moja kati ya kakipengele ambacho wengi hawapendi kukasikia, hata wakatoliki wenyewe hawawezi kuambiwa hichi kitu.
Kama kuna kitu duniani kiliwahi kuwa powerful kwenye historia ya binadamu, basi ni roman catholic. Hawa jamaa we waone tu wanasali kiupoleee kivivu vivu ila behind the scene ni mamastermind wa mifumo mingi sana ya kibinadamu
Mitume yote ilikuja na kauli mbiu moja ikiwaambia watu kuwa "MUABUDUNI MUNGU MMOJA NA WALA MSIMSHIRIKISHE NA CHOCHOTE KILE"Muhammad hana tofauti na mwamposa
Muhammad yupo tofauti kabisa na mitume wa MUNGU waliozaliwa na kukulia Israel
Fanya utafiti usipotoshwe na MASHEIKH,
Nan kakudanganya wayahudi watafutiliwa?Waingereza walidhani wamefaulu sana kuwakusanya mayahudi waliotapakaa maeneo mbalimbali duniani na kuwaweka katika ardhi ya Palestine ..Kumbe hawakujua kuwa wanacheza ndani ya mipango ya Mungu.
Mungu kwa makusudi amewaleta mayahudi sehemu moja ili. wapate kufutiliwa mbali katika uso wa ardhi kwasababu ni kizazi cha watu walioua sana Mitume ya Mungu na kukanusha mitume ya Mungu iliyoletwa kwao.
Sura 17:4-8 inaelezea haya masuala ya mayahudi.
Hizi ni porojo zenu ili kuwashobokeaMitume yote ilikuja na kauli mbiu moja ikiwaambia watu kuwa "MUABUDUNI MUNGU MMOJA NA WALA MSIMSHIRIKISHE NA CHOCHOTE KILE"
Sasa hapa umekataa nini ?Palestina ni eneo , unaandikaa maneno mengi ambayo hayana msingi hata kidogo , lile ni eneo ambalo lina watu wa makabila mbali mbali wenye asili zao , siku nyingine acha kupoteza nguvu kwa vitu vyepesiShida wewe huna elimu
Palestina si jina la eneo pekee, bali ni utambulisho wa kitaifa wa watu wenye historia na tamaduni za pamoja. Wapalestina, wakazi wa eneo hilo, wana utambulisho wa kisiasa unaotambulika kimataifa, na wanajiita Wapalestina kwa muktadha wa kihistoria na kisiasa. Ingawa Palestina ilikuwa sehemu ya Dola ya Ottoman na baadaye chini ya utawala wa Uingereza, wakazi wake walitambulika kama Wapalestina. Hivyo, Palestina ni jamii yenye utambulisho wa pamoja, si jina la eneo kama inavyodaiwa.
Mitume yote ilikuja na kauli mbiu moja ikiwaambia watu kuwa "MUABUDUNI MUNGU MMOJA NA WALA MSIMSHIRIKISHE NA CHOCHOTE KILEMuhammad hana tofauti na mwamposa
Muhammad yupo tofauti kabisa na mitume wa MUNGU waliozaliwa na kukulia Israel
Fanya utafiti usipotoshwe na MASHEIKH,
Taifa la Palestine limekuja baada ya muingereza kuivunja dola ya kiislam ya ottoman na wakagawa mataifa ya middle east kwa mujibu wa makubaliano ya sykes-picot.Shida wewe huna elimu
Palestina si jina la eneo pekee, bali ni utambulisho wa kitaifa wa watu wenye historia na tamaduni za pamoja. Wapalestina, wakazi wa eneo hilo, wana utambulisho wa kisiasa unaotambulika kimataifa, na wanajiita Wapalestina kwa muktadha wa kihistoria na kisiasa. Ingawa Palestina ilikuwa sehemu ya Dola ya Ottoman na baadaye chini ya utawala wa Uingereza, wakazi wake walitambulika kama Wapalestina. Hivyo, Palestina ni jamii yenye utambulisho wa pamoja, si jina la eneo kama inavyodaiwa.
Huna hoja kabisa sasa hv umehamia katika uzushi. Quran inasema kuwa ALLAH ndiye kampa utume , Muhammad.Hizi ni porojo zenu ili kuwashobokea
Muhammad yupo tofauti na mitume na manabii wa Israel waliokuwa wayahudi
Hawaendani hata kidogo
Muhammad kazaliwa huko Uarabuni akapewa utume na Waraq padre na , Mkatoliki bi Khadija
Akibanwa na hoja anakimbilia kwenye waraka wa papa. Waraka ambao siyo mamlaka kama bibliaKwani huo waraka ndio Biblia? Yeye katoa maandiko ndani ya quaran, na wewe lete maandiko ndani ya Biblia yake sio mambo ya waraka wa Papa ambao ni kama gazeti tu.
Waislamu kwenu ni Makka na Madina mkale tende na kuabudu jiwe jeusiMitume yote ilikuja na kauli mbiu moja ikiwaambia watu kuwa "MUABUDUNI MUNGU MMOJA NA WALA MSIMSHIRIKISHE NA CHOCHOTE KILE
Taifa la Palestine limekuja baada ya muingereza kuivunja dola ya kiislam ya ottoman na wakagawa mataifa ya middle east kwa mujibu wa makubaliano ya sykes-picot.
Kabla ya hapo Palestine ilihesabika kuwa ni sehemu ya ardhi ya Sham iliyokuwa chini ya utawala wa dola ya khilafa ya Ottoman. Muislam yeyote ana haki ya kuishi katika ardhi ya Palestine.
Mm nilibanwa na hoja ? Au mwenzako aliyekuwa anamtaja papa ovyo asijue kuwa Papa na Ukatoliki ndio wenye uislamuAkibanwa na hoja anakimbilia kwenye waraka wa papa. Waraka ambao siyo mamlaka kama biblia
je Ibrahim alikuwa ni Myahudi? Ishmael alikuwa ni myahudi?, Nuh alikuwa ni myahudi?Waislamu kwenu ni Makka na Madina mkale tende na kuabudu jiwe jeusi
Israel sio Yenu haiwahusu, manabii na mitume wote walikuwa wayahudi Tena wakuzaliwa ,
Nyie kwenu Maka
Leta Aya Allah kampa utume mudyHuna hoja kabisa sasa hv umehamia katika uzushi. Quran inasema kuwa ALLAH ndiye kampa utume , Muhammad.
Hao kwanza sio manabii na hawahusiani na uislamuje Ibrahim alikuwa ni Myahudi? Ishmael alikuwa ni myahudi?, Nuh alikuwa ni myahudi?
Adam alikuwa ni myahudi?
Lut alikuwa ni myahudi?
Seth alikuwa ni myahudi?