hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
- Thread starter
- #141
Shida ww elimu huna ,kaa hapa ujifunzeSasa hapa umekataa nini ?Palestina ni eneo , unaandikaa maneno mengi ambayo hayana msingi hata kidogo , lile ni eneo ambalo lina watu wa makabila mbali mbali wenye asili zao , siku nyingine acha kupoteza nguvu kwa vitu vyepesi