Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Nyie mliojikuta Miamba ya kutetea wapale-stina kiasi kwamba mlijikuta mpaka mnatukana watu kisa Palestina, lakini sasa shida hii ya vita imetokea kwa majirani zetu wa damu kabisa hapo DRC, lakini mtandaoni mpo kimya kama sio nyie mliokuwa kila siku mnaandika mabango Pray for Gaza, lakini Leo hamuandiki Pray For Goma.
Au ndio kwamba kutetea watu weupe ni ufahali lakini mwafrika mwenzako akiuwawa ni sawa
Au ndio kwamba kutetea watu weupe ni ufahali lakini mwafrika mwenzako akiuwawa ni sawa