Wapalestina wakumbuka shuka kukiwa kumekucha

Swali kubwa ni kuwa Hamas walijiuliza nini kitatokea baada ya October 7....Hata Hebolah pia.....sidhani waliwaza hivi......

View attachment 3116851
Ndugu yangu wewe kama unaweza kuishi chini ya myahudi na mateso yao unyanyasaji hilo lako mimi hawezi kuja mkenya akanitoa kwenye ardhi niliyokulia abadani ni either afe au ni nife wale mazayuni ni washenzi haswa hamas wako sawa mia asilimia
 
Ndugu yangu wewe kama unaweza kuishi chini ya myahudi na mateso yao unyanyasaji hilo lako mimi hawezi kuja mkenya akanitoa kwenye ardhi niliyokulia abadani ni either afe au ni nife wale mazayuni ni washenzi haswa hamas wako sawa mia asilimia

Mkuu wajinga hawawezi kuisha
 

Kwani sheria za vita zinasemaje? wacha wakomae tuone nini kitafanyika.
 
Si ndiyo maana walianza kibiti kule wakakutana na mziki wa JW kobazi wakavaa madela Kama mademu wakakimbilia msumbiji. Sababu ni hiyo wanayosema dunia yote wawe waislamu. Wanaangaika na kitu kisichowezekana. MUNGU alazimishi mtu yao yanalazimisha. Na yalivyo majinga yanalazimisha Mungu kawawekea bikira 72 upuuzi mtupu.
 
Si ndiyo maana walianza kibiti kule wakakutana na mziki wa JW kobazi wakavaa madela Kama mademu wakakimbilia msumbiji. Sababu ni hiyo wanayosema dunia yote wawe waislamu. Wanaangaika na kitu kisichowezekana. MUNGU alazimishi
Mkuu huyo mtu ana akili finyu sana. Achana naye shida yake uwezo wake wa kufikilia ni mdogo sana
 
Wana wa manyaz mungu..mmechanganyikiwa nani Aliyewaloga siku mkishtuka, hamna Akili mtakuwa mmepitwa mbali na mayaudi
 

Kwa hiyo wapi unaona kunaongelewa suala la dini au hata bikra 1 achilia mbali 72?

Kwamba kuna Madera wanavaa wanaume? Kama haya?



Kulikoni kuwa na akili finyu hivi ndugu?
 

Wewe mwenye akili pana ndiyo wewe?

Hivi hata hamjihirumii?

Ama kweli wajinga hamtaisha. Komaeni hapo hapo.
 

Sasa kaka kaka unataka wakomaae vip? Hao Hamas ambao wanajiita wakomboz wao wameanzisha vita wakiwa hawana. Hata heavy artillery yaan wameanzisha vita utadhan vita vya cartel wa madawa ya kulevya mexico kumbe wanaenda kupigana na jeshi la nchi amano wako well discipline and organized.

Sasa hv hata hujui hamas nan rai nan wamejichanganya kwa raia Matokeo yake ndo hayo ya gaza ardhi imegeuzwa juu chini

Kisha we unataka wakomae.. wameshindwa kukomaa hamas unataka raia wa kawaida wakomae wakomae nn..

Yaan mvamiwe hamna silaha za maana bado unasema unakomaa..
Unatakiwa urud nyuma ukajipange upya... hata vitan inaruhusiwa sembuse raia
Jaman tuachen ushabik wa vita.. watu wana watoto wadogo wazee na wagonjwa.. mabom yanashuka dunia imewasusa unataka wakomae
 
Mwambie akamuulize huyu bwana


View: https://x.com/DrEliDavid/status/1842981875234828301?t=SHh0biVACc5ycQkF6WMg_A&s=19Pamoja na ndevu zake sijui ndiyo Sunna hataki kusikia kabisa habari za kifo.
 

Mkuu hata wamasai hawakuwa hata na risasi walikomaa na Waka prevail.

Vivyo hivyo Bangladesh.

Kukomaa kwenye mass bila woga hilo ni jeshi kubwa lenye nguvu kuliko us army na madege yao yote.

Au nasema uongo?
 
Hizo ni propaganda za Hamas wakitaka wabaki kama kinga yao.. ila wamewapuuza Hamas na washaanza kuhama..
 
Hizo ni propaganda za Hamas wakitaka wabaki kama kinga yao.. ila wamewapuuza Hamas na washaanza kuhama..

Kwani umewaona wapalestina wakijitenga na HAMAS?

Au hujui HAMAS ni Palestina na Palestina ni HAMAS ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…