- Thread starter
- #21
Ndiyo maana muhimu kuchukua tahadhali kuzuia vita kwa namna yoyote.
Kukimbia hakusadii.
Ndiyo maana hadi sasa Iran na hata North Korea huko kumetulia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaaani mm niwe muislamu!!!!??? Niwe kama Hezbollah na Alqaida na Boko Haram na hamas!!!!! Kwa ahadi ya kupewa bikira peponi!!!!!!!!. UPUMBAVU GANI HUU. ? Angalia magumu wanapitia wanawake chini ya Taleban,kule Iran usipovaa hijab unafungwa. Wanaokufunga ni binadamu halafu unafungwa kwa sababu ya Allah. UPUMBAVU WA KIWANGO KISICHOELEZEKAUmeisha sema mwenyewe kwa nukuu yako........
Binaadam wote duniani wanatakiwa wawe waislam. Ambae sie muislamu maisha baada ya kufa yatakuwa magumu kwake...
Mbona unageuza kibao....Lengo lenu kubwa ni dunia Isilimu......simple and short......Israel haipigani vita vya dini.....ila unajua Hamas ndani ya Charter yao....Hata Hezbollah....Land ni chambo tu......ni kueneza Uislamu...Mwenye akili anajua Allah anataka nini...
Ndivyo ulivyo daganywa.....Umesoma Charter ya Hamas lakini......Umesoma hata document moja ya Iran baada kumuondoa Shah....Umesoma main document ya Hezbolah...walipoianzisha? Soma kwanza....ndio uandike...
Ndiyo maana huchukua tahadhali kuzuia vita Kwa namna yoyote.
Kukimbia hakusadii.
Ndiyo maana hadi sasa Iran na hata North Korea huko kumetulia.
Israel hatishiwi nyau!! Wabaki waone, Israel ua nguruwe hizo
Swali kubwa ni kuwa Hamas walijiuliza nini kitatokea baada ya October 7....Hata Hebolah pia.....sidhani waliwaza hivi......
View attachment 3116851
Yaaaani mm niwe muislamu!!!!??? Niwe kama Hezbollah na Alqaida na Boko Haram na hamas!!!!! Kwa ahadi ya kupewa bikira peponi!!!!!!!!. UPUMBAVU GANI HUU. ? Angalia magumu wanapitia wanawake chini ya Taleban,kule Iran usipovaa hijab unafungwa. Wanaokufunga ni binadamu halafu unafungwa kwa sababu ya Allah. UPUMBAVU WA KIWANGO KISICHOELEZEKA
Moja ya mada ya kipuuzi na kijinga sana. Ebu nenda wewe ukakae huko kama utavumilia hayo mateso. Hivi huwa mnatumia akili au mavi vichwani mwenu
Wewe ndo mzigo na fala mkubwa sana. Huwezi kutumia uhai wa watu wengine rehani. Watu kama wewe hamtakiwi kuwepo kwa sababu ni adui wa uhai wa binadamu wengine.Bila shaka wewe ni kamanda muandamaji kindaki ndaki, mtandaoni, joga kuliko panya!
Majitu kama wewe ni mzigo!
Mandela wajilinganisha naye wewe?
Kujaribu kuwazodoa kina Mandela, Nyerere, Lissu, nk ni kujidhalilisha!
Bila shaka Uzi huo unakuhusu sana ndugu.
Mandela wajilinganisha naye wewe?
Kujaribu kuwazodoa kina Mandela, Nyerere, Lissu, nk ni kujidhalilisha!
Bila shaka Uzi huo unakuhusu sana ndugu.
Wewe ndo mzigo na fala mkubwa sana. Huwezi kutumia uhai wa watu wengine rehani. Watu kama wewe hamtakiwi kuwepo kwa sababu ni adui wa uhai wa binadamu wengine.
Unajiona mwamba wakati umejifungia chumbani kwako unaandika jamii forum unataka tuone wewe una machungu kuliko wanayopitia watu wa Gaza.
Mnakera sana kwa mada zenu za kipuuzi kama hizi.
Upo bado Mkuu nimedhani umeni block! ....okay tunaendelea....yaani una vituko, unataka hoja zako tu! Kichekesho......
Wewe ndo mzigo na fala mkubwa sana. Huwezi kutumia uhai wa watu wengine rehani. Watu kama wewe hamtakiwi kuwepo kwa sababu ni adui wa uhai wa binadamu wengine.
Unajiona mwamba wakati umejifungia chumbani kwako unaandika jamii forum unataka tuone wewe una machungu kuliko wanayopitia watu wa Gaza.
Mnakera sana kwa mada zenu za kipuuzi kama hizi.
Kwani Nyerere alikuwa malaika? Alifanya mema mengi na alikosea sana pia....Hata Mandela vile vile......rudia darasa lako la Historia.....
Ila wewe huoni machungu ya October 7....Kweli mkuki kwa nguruwe......Matokeo ya October7 umeyaona, na Wajinga Hezbollah....bila hata kujifunza nini kimetokea Gaza wameingia wangu wangu...! Yupo wapi Nasrala na timu yake, Hata Stategy za vita ZERO.....mko vitani halafu mnakutana makao makuu....unategemea nini.....Gaza nyingine inawashukia...Tunaanza kuona magofu....na bado....!

Mkuu namsema huyo brazaj.
Kabisa za kuambiwa changanya na zako mwishoni Kila mtu atabeba msalaba wake
Sijasema nina akili, ila wewe ni fala mkubwa na harakati zako za JF. Kuwa na access ya kuandika siyo kuwa unaandika yasiyo na maana.