Fredwash
JF-Expert Member
- Oct 27, 2009
- 1,400
- 2,010
Ni sahihi unachosema lakini kwa issue ya palestina na wamasai ni vitu viwili tofautiMkuu hata wamasai hawakuwa hata na risasi walikomaa na Waka prevail.
Vivyo hivyo Bangladesh.
Kukomaa kwenye mass bila woga hilo ni jeshi kubwa lenye nguvu kuluko us army na madege yao yote.
Au nasema uongo?
Wamasai walikuwa wanapambana na serikali yao.. same to bangladesh..
Hapo unazungumzia mataifa mawili tofauti.. na isitoshe bado kuna influence za kutoka iran ambaye naye anaagenda zake za siri...
Kama wapalestina wangekuwa makini na kuondoa mihemuko basi. tusingefika hapa tulipo kumbuka kipindi kinachosemwa Israel iliundwa ndio kipindi na Jordan nayo iliundwa maana kabla ya hapo yote ilikuwa chini ya uingereza ikijulikana kama palestina mandate territory
Na uingereza alitawala hapo baada ya kukubaliana na local ppl ( transjordan /hashemites ppl na palestines ) kuwa atavamia hapo kuangusha utawala wa ottoman kisha ataigawanya na kuwapa uhuru wao, watu wa jordan wakakubali ila pia akasema atawarudishia jews sehem ya eneo.
Baada ya Ottoman kuangushwa israel akatengeneza taifa la jordan . Miaka kadhaa baadae likaundwa la Israel
Sasa kwa nn hawa wengine wakapata utaifa (jordan) hawa wengine(palestine) hata structure ya uongoz haijulikan wenyewe kwa wenyewe wamegawanyika hadi leo