Wapalestina Waliokufa Kuanzia October 7 Hadi Leo ni 40,005

Wapalestina Waliokufa Kuanzia October 7 Hadi Leo ni 40,005

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
7,021
Reaction score
11,475
Wakati majadiliano ya kusitisha vita yakifikiriwa huko Qatar, idadi ya Wapalestina waliokufa ni zaidi ya 40,000 na waliojeruhiwa ni zaidi ya 92,000
20240815_214547.jpg

Huku idadi ya watoto ikiwa ni zaidi ya 16,000

20240815_214530.jpg

Hivi vita visitishwe tu sasa
 
Wakati majasiliano ya kusitisha vita yakidikiriwa huko Qatar, idadi ya Wapalestina waliokufa ni zaidi ya 40,000 na waliojeruhiwa ni zaidi ya 92,000
View attachment 3071260

Huku idadi ya watoto ikiwa ni zaidi ya 16,000

View attachment 3071261
Hivi vita visitishwe tu sasa
Inasikitisha sana...hapo bado Kuna miili imefunikwa na vifusi.

Gaza kwa Sasa imegeuka mji wa magofu tu....Dunia imewatelekeza Wapalestina.
 
Wakati majasiliano ya kusitisha vita yakidikiriwa huko Qatar, idadi ya Wapalestina waliokufa ni zaidi ya 40,000 na waliojeruhiwa ni zaidi ya 92,000
View attachment 3071260

Huku idadi ya watoto ikiwa ni zaidi ya 16,000

View attachment 3071261
Hivi vita visitishwe tu sasa
Irael mbona amawalemba hawa magaidi yani mabomu yoye yale bado 40k tu ilitakiwa angalau hata 1m hivi ameua magaidi gaza ibaki magofu tu
 
Back
Top Bottom