Wapalestina wana ukichaa sio bure

Wapalestina wana ukichaa sio bure

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Jamaa kila wakikaa kwa amani miezi michache wanakwenda kuchokoza nyuki Israel. Na Israel huwa hataki mazoea.
Hii iliyoanza October 7 2023 mpaka sasa Wa Israel takribani mia nne tu ndio waliokufa ukiondoa wale 1200 waliopigwa ambush day one ,huku wazee wa vurugu elfu 40 wamekwenda na maji.

Jamaa bila kudundwa hawapati raha kabisa.

Hata vita hii ikipoa watachokoza tena, watadundwa tena mpaka wanyooke.

Hawa jamaa ni kama mbuzi kichaa
 
wapigane mpaka wauwane wote nchi ibaki ukiwa, niende nikamiliki ardhi kwa ajili ya kufanya kilimo na ufugaji.

mavita yao hayaniathiri kwa chochote kile.
 
Mpaka sasa Walio fariki, wapalestina 40,000+ na israel 1,200.
Kimahesabu:
kifo cha mu israel 1 ni sawa na vifo vya wapalestina 33!
 
Hii iliyoanza October 7 2023 mpaka sasa Wa Israel takribani mia nne tu ndio waliokufa ukiondoa wale 1200 waliopigwa ambush day one ,huku wazee wa vurugu elfu 40 wamekwenda na maji.

Kwa hiyo 400 wewe unaita 400 tu?

Angekuwamo nduguyo mmoja tu ungethubutu kusema hivyo?

Wenye ndugu katika hao 400 wanaweza kuthubutu kusema kama unavyoropoka hivi hapa?
Hawa jamaa ni kama mbuzi kichaa

Mkuu huu wako mbona wala si kama tu, bali ndiyo ule u mbuzi kichaa wenyewe sasa?
 
Unasema wana kichaa inafikirisha kiwango chako cha uelewa wa mambo wenda kinaathiriwq na masuala kadhaa kama umri, kiwango cha elimu au hata msukumo wa kiimani yote yaweza yakawa majawabu.
 
wkati tunasoma high school ukifuatilia zionism inasema the quality of one jews is egual to three palestine ila kwa sera ya netanyahu nazan itakua is equal to 30 palestinians wasipokuwa makini
 
Freedom seekers hawajawahi kuacha kupigania utambulisho wao. They are Palestinian! Na itabaki hivyo.
Hata pakiwa na kitisho Cha wao wote kwisha Kwa makombora ya Marekani na Israel. Hawataacha kupigana.
Ipo hivyo na haitabadilika.
Nb
Israel pia maisha Yao daima yataendelea kuwa ya wasiwasi miaka nenda Rudi mara Hezbollah, mara Hamas nk
 
Jamaa kila wakikaa kwa amani miezi michache wanakwenda kuchokoza nyuki Israel. Na Israel huwa hataki mazoea.
Hii iliyoanza October 7 2023 mpaka sasa Wa Israel takribani mia nne tu ndio waliokufa ukiondoa wale 1200 waliopigwa ambush day one ,huku wazee wa vurugu elfu 40 wamekwenda na maji.

Jamaa bila kudundwa hawapati raha kabisa.

Hata vita hii ikipoa watachokoza tena, watadundwa tena mpaka wanyooke.

Hawa jamaa ni kama mbuzi kichaa

Jamaa kila wakikaa kwa amani miezi michache wanakwenda kuchokoza nyuki Israel. Na Israel huwa hataki mazoea.
Hii iliyoanza October 7 2023 mpaka sasa Wa Israel takribani mia nne tu ndio waliokufa ukiondoa wale 1200 waliopigwa ambush day one ,huku wazee wa vurugu elfu 40 wamekwenda na maji.

Jamaa bila kudundwa hawapati raha kabisa.

Hata vita hii ikipoa watachokoza tena, watadundwa tena mpaka wanyooke.

Hawa jamaa ni kama mbuzi kichaa
Hivi mada uliwahi kuileta tukakurekebisha ila unaleta uongo tena.
Ugomvi hauikuanzia October 7 bali August 23 Israel IDF ilivamia mashamba ya Palestina na kuyaharibu na kukanyaga wapalestina na vifaru.
Haikutosha Israel supreme court ikatoa idhini kuvunjwa kwa Jenin settlements ili kuongeza makazi ya Wazayuni mnamo August hiyo hiyo.
Ulitarajia Wapalestina wanyamazie huu uonevu!???
Ukiwa hujui kitu kheri unyamaze kuliko ukaropoka na ikaonekana wewe ni MPUMBAVU.
 
Jamaa kila wakikaa kwa amani miezi michache wanakwenda kuchokoza nyuki Israel. Na Israel huwa hataki mazoea.
Hii iliyoanza October 7 2023 mpaka sasa Wa Israel takribani mia nne tu ndio waliokufa ukiondoa wale 1200 waliopigwa ambush day one ,huku wazee wa vurugu elfu 40 wamekwenda na maji.

Jamaa bila kudundwa hawapati raha kabisa.

Hata vita hii ikipoa watachokoza tena, watadundwa tena mpaka wanyooke.

Hawa jamaa ni kama mbuzi kichaa
Wakishatafuna miraa na kuvuta opium wanaanza kuwaza vita hawa jamaa sijui kwann wqnapenda vita kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom