Yah man, kiufupi kuzaliwa bongo ni trap.Ila bongo kutoboa ni changamoto sana.
Maana kijana kabla hujaanza maisha yako unakuwa na majukumu tayari umeshabebeshwa. Yaani unaanza na negative.
Pia kila mtu anaanza upyaaa.
Baba anamtegemea mtoto badala ya mtoto kumtegemea baba
Hapa sasa ni vice versa mwenye watoto wa nje ni mama.Kipengele huwa kipo tena unakuta mzee kaenda tena kuoa mwanamke mwenye watoto afu mzee wako anakua anakupigia simu uwahudumie hao watoto wa huyo mama kwa madai ni wadogo zako mimi nevaa nilikataa ni heri lawama👋
Kama mlikua mnaishi nao tangu utotoni sawa tena nyumba mojahapa sasa ni vice versa mwenye watoto wa nje ni mama.
mom ni fighter at least ila mzee ndo amegive up na yupo kijijini tuWazazi wana shughuli zozote za kujipatia kipato?
If yes then jiangalie wewe zaidi sababu kwa huo umri wao naona bado wanajiweza.
Wasaidie pale unapoweza ila usijisahau kujiwekea akiba.
🙏Kwanza pole sana.
Naelewa sana unachopitia but kuwa honesty na nafsi yako.
Kwa umri huo Baba na Mama wanaweza kabisa kujishughulisha na chochote,bora uwape hata mtaji wa 50,000/= mwingine auze matunda mwingine aangalie fursa zilizopo (watashauri wadau wengine).
Wafanye kazi waweze kujitegemea.
Watakutegemea mpaka lini?Hakuna mwanadamu ataeishi milele,wajifunze kumtegemea Mungu na kufanya kazi kwa bidii ukiwaendekeza utapata magonjwa yasiyoambukiza Kwa stress.
Me naona wanaostahili msaada Ni watoto na wazee kabisa 60+ wengine tufanye kazi.
shkran mkuuHapo umri wa wazazi umetupiga bro!
Ukweli maisha ni magumu sana wakati unapo anza , tena ikiwa unaanza na hauna msingi, iwe wa elimu au mtaji.
Brother ni changamoto haswa, mpaka unakosa nuru!
Lakini ni kwa wakati tuu, sote au wengi wetu tulikuwa kama wewe na kuzidi lakini hatukukata tamaa moja kwa moja japo kwa kiasi tulikata tamaa, lakini tulikaza na leo hii hata kama si kwa kiwango kile cha matarajio lakini kuna uafadhali.
Weka nia, ongeza juhudi, tafuta maarifa, kuwa na nidhamu kwa kila kitu, kuwa na malengo ya muda mrefu hata yawe madogo lakini yakitimia hutua moyo sana.
Mungu akuwezeshe ndugu yangu.
Ni kwa sababu wewe upo na hivyo wametengana basi kila mmoja anataka akutumie vizurimom ni fihter at least ila mzee ndo amegive up na yupo kijijini tu
Kama uchumi upo vizuri wasaidie tu mkuu.Kipengele huwa kipo tena unakuta mzee kaenda tena kuoa mwanamke mwenye watoto afu mzee wako anakua anakupigia simu uwahudumie hao watoto wa huyo mama kwa madai ni wadogo zako mimi nevaa nilikataa ni heri lawama[emoji112]
Kamati ya roho mbaya [emoji16][emoji16]Wazazi wana shughuli zozote za kujipatia kipato?
If yes then jiangalie wewe zaidi sababu kwa huo umri wao naona bado wanajiweza.
Wasaidie pale unapoweza ila usijisahau kujiwekea akiba.