kaputula
Member
- Mar 29, 2012
- 97
- 128
Wapambe na chawa ndani ya CCM wamekanyaga katiba ya chama ili mtu aliyepewa ugombea mwenza kwa kubebwa kwa dhana ya viti maalum aendelee kuongoza nchi. Tulitegemea wanaCCM kupewa fursa kumpata mtu mwingine mzalendo mwenye maarifa na jasiri kama Magufuli ili kuweza kugombea na kuchukua urais wa jamhuri.
Mama baada ya kunogewa na madaraka huku akipungua kabisa sifa wanahitaji watanzania kwa kiongozi wao amepoka uteuzi wa ugombeaji kwenye kikao cha mkutano mkuu kilochoitishwa kujaza nafasi ya makamo mwenyekiti. Wanaccm tunataka kuona kikao maalum kufuatana na katiba ya chama cha mkutano mkuu kwa ajili ya kuchagua mgombea urais wa jamhuri. Tumeona uongozi wa mama usivyo na uzalendo na kujaa ubinafsi na hujuma kwa fedha na mali ya umma.
Ikiwa hali itabakia mama ndio mgombea huku wanachama wakiwa wamenyimwa fursa yao kikatiba wanaccm wazalendo wajiandae kuhakikisha wanapata mgombea upinzani wanayemuamini ili kumuunga mkono. Huyo atakua mtu na chama kinachoonekana na msimamo kulinda maslahi ya umma hata kama atakua ni Antipass Lissu.
Mungu ibariki Tanzania.