TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Ukihitaji salamu subiri kwanza ninywe Zanzi baada ya kulewa nitamwaga Tanganyi yoote kwenye kadamnasi,hapo ndipo nitawapa HI!đź‘‹
Chawa katika kizazi hiki cha Z (Z Generation) wameendelea kujizolea umaarufu kama ambao mimi na ndugi zangu tuliupata pale STEERS, BILLCANAS au KWA MACHENI!
Umaarufu wa kipindi kile kiukweli ulikuwa mtamu mno pasipo kuchanganywa na aina yeyote ya sukari!,Umaarufu ulikuwa mtamu bila sukari!.
Umaarufu wa leo bila Sukari haunogi,Sukari zenyewe ni zile Sukari Guru/Nguru!,Hizo sukari Guru/Nguru ni sawa sawa na watu wanaoitwa "Machawa",Hivi leo ili uwe Mtu wa karibu na Boss mwenye Mihela hapa nchini ni lazima ujivue utu wako na uvae utu wa "Mr Bean",Hii ni tofauti kabisa na miaka ya nyuma kwa wale machawa wa zamani walioitwa "WAPAMBE NUKSI"
Zamani wale jamaa wa kuitwa "WAPAMBE NUKSI" walikuwa na nguvu ya ajabu kuliko boss mtoa hela,ila leo Ma-Boss wana nvuvu kuliko machawa wenyewe,hiyo ndiyo tofauti!
Machawa leo kazi yao ni kupiga kelele tu mwanazo mwisho halafu bosi akiridhika na kelele ndipo anamwaga mpunga,hii ni tofauti na enzi za "WAPAMBE NUKSI" ,Mpambe Nuksi alikuwa na nguvu kiasi kwamba Boss mtoa hela alimuheshimu mpambe kwa lolote asemalo!
MAPAMBE NUKSI alikuwa akimwambia Boss ni muda wa kulala,Boss ana tiii mara moja anaelekea kitandani!.
Hakika mambo yamebadilika sana,nakumbukia enzi zangu nilipokuwa mpambe wa Boss mmoja hapa Mjini Dar es salaam hadi ratiba ya kula na kuoga nilikuwa nampatia mimi!.
Ukitaka kujua MPAMBE NUKSI ni mtu wa aina gani,nenda YouTube kaangalie Video ya Fally Ipupa ya Mwaka 2009 alipokuja Tanzania,pale kwenye ile show kuna jamaa yangu mmoja akiwa na Pedeshee "Ndama mtoto ya Ng'ombe" wakati anatoa pesa kwa Fally Ipupa!.
Hapo ndipo utaona nilichokieleza hapa!