wapambe pressure inapanda pressure inashuka

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Jamani kuna,,,,

Watu wabaya dunia hii..,kuna watu wakiona ndoa za wenzao wanatumia kwa garama zao zote waone wenzao wamekorofishana ......jamani mbona hivyo walimwengu...sasa kwa wale wenye furaha na amaani kwenye ndoa zenu ama mahusiano yenu jamani kazeni buti...huku nje watu vinawauma

vinawakera wanajiuliiza mbona wale wanaendelea kushine....wanafamilia tuzitunze familia zetu zipendeze zishine watu washindwe kupata cha kuongea....

nanyi wamama msisikilize maneno ya watu nje..muwe makini na maneno ya watu yanabomoa familia...
 
Hiiii ya watu wanatuonea wivu..
Ni mentality zaidi kuliko hali halisi..

Sometimea matatizo ya wanandoa yanasababishwa na wanandoa wenyewe.
 
Hiiii ya watu wanatuonea wivu..
Ni mentality zaidi kuliko hali halisi..

Sometimea matatizo ya wanandoa yanasababishwa na wanandoa wenyewe.

ni kweli mkuu
;lakini ndoa nyingi zenye majeraha zinachangiwa na maneno ya nje ya watu
 
ni kweli mkuu
;lakini ndoa nyingi zenye majeraha zinachangiwa na maneno ya nje ya watu

ni kweli lakini mpaka nyinyi wenyewe muwaendekeze..
Mimi binafsi huwa simpi nafasi mtu anieleze chochote
kuhusu mpenzi wangu.....
Kiwe kizuri au kibaya sitaki kusikia....

Halafu kingine ni kuhama mitaa mliyozoeleka...
Maana ya kuoana ni kwenda mbali na ndugu na wambeya wote.
 
Halafu kingine ni kuhama mitaa mliyozoeleka...
Maana ya kuoana ni kwenda mbali na ndugu na wambeya wote.

fantastic br
 
Adui wa kwanza wa ndoa ni wanandoa wenyewe.........
 
Watu wengine hawana kingine chochote cha kuongea zaidi ya ndoa.Hii inaonyesha horizons zilipo.
 
Haya mkuu tuongelee mafisadi wa jf!!!
 
Watu wengine hawana kingine chochote cha kuongea zaidi ya ndoa.Hii inaonyesha horizons zilipo.

Nimecheka sanaaaaaaaa, yaani umefanya siku yangu iishe unono! Thanx
 
Mama mia uko 100 % right jamani haya mahusiano kama ulivyosema tukaze buti
du nilikuwa na mashoti ambao kabla sijaolewa walikuwa marafiki zangu wa kufa na kuzikana kumbe wana kijiba cha roho na mie pasipo mie mwenyewe kufahamu ati ndo niliwapenda na kuwaona hawa ni marafiki wa kweli hapa duniani
siku nimetangaza ndoa my god niliipata joto jiwe ilianza misuko suko ya hapa na pale kila namna nilikonda mwennzenu mama FL1 du kuja kugundua mwanzilishi wa yote na maneno yote mazito yalikuwa yanatoka kwa rafiki yangu wa karibu yaani niliyemwamini sana
sina hamu na rafiki eti wa kike ...eeh bora wanaume mwanamke jamani mwanamke ukimwambia jambo linamuwasha

ilini-cost
 
Watu wengine hawana kingine chochote cha kuongea zaidi ya ndoa.Hii inaonyesha horizons zilipo.

Hakuna ndoa ,hakuna taifa,hakuna dunia.
Hivi kama mama yako na baba yako wasingekuwa na ndoa ungekuwepo?
Au watu wooooooooooote waamue wasioe na kuolewa kama wewe,hii dunia ingekuwepo?
 
Watu wengine hawana kingine chochote cha kuongea zaidi ya ndoa.Hii inaonyesha horizons zilipo.

hahahah brulay wewe kwa nini unachukia kuongelea habari za ndoa ??
tuongee elimu kwenye jukwaa la mahusiano ,mapenzi urafiki
tuongee siasa au mipira
kama hujaipenda ipotezee
 
hahahah brulay wewe kwa nini unachukia kuongelea habari za ndoa ??
tuongee elimu kwenye jukwaa la mahusiano ,mapenzi urafiki
tuongee siasa au mipira
kama hujaipenda ipotezee

Ni hatari sana ukiona mwanaume anapinga ndoa kila siku na anataka watu pia wasioane wala wasishaurine kuhusu mauhusiano kuna tatizo mahala fulani.
 
Matatizo au fraha ndani ya ndoa zenu yanasababishwa na nyie wenyewe ndani ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…