Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Jamani kuna,,,,
Watu wabaya dunia hii..,kuna watu wakiona ndoa za wenzao wanatumia kwa garama zao zote waone wenzao wamekorofishana ......jamani mbona hivyo walimwengu...sasa kwa wale wenye furaha na amaani kwenye ndoa zenu ama mahusiano yenu jamani kazeni buti...huku nje watu vinawauma
vinawakera wanajiuliiza mbona wale wanaendelea kushine....wanafamilia tuzitunze familia zetu zipendeze zishine watu washindwe kupata cha kuongea....
nanyi wamama msisikilize maneno ya watu nje..muwe makini na maneno ya watu yanabomoa familia...