BWANA WANGU
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 365
- 851
Bei za vyumba huko zipoje mkuu.Mimi bado nipo hapa kwa mtogole Tandale
Kwa mtogole nyingi 30-45kBei za vyumba huko zipoje mkuu.
Mkuu ujaacha utata TU. πNjoo vingunguti kijana, ila hilo jina lako mkuu utaitwa na DIVISHENI FOO pekee
Sema uyo dogo kafeli pakubwa sana.Sitaki kuskia kudaiwa kodi kama Dogo patten ambavyo hataki kuskia habari za shule
Hiyo meridian bet hapo bado IPO?Mimi bado nipo hapa kwa mtogole Tandale
Mimi sio muhusika wa hzo mbanga Ila nadhani ipo ngoja kesho ntakupa jibu sahihi munchHiyo meridian bet hapo bado IPO?
Mbande na Maji matituEeeh bana habari za saa hii mkuu, heshima yenu.
Nataka nikapange mitaa ya kwa aziziali, tafadhali naombeni A,B,C zenu kuhusiana na kipande icho.
Asante sana.
Kwahyo unalala darajani au Kwa shemejiDah toka nimtukane baba mwenye nyumba nikalala korokoroni sina Hamu na kupanga
Pole sana mkuu, tujenge kama vp tu.Dah toka nimtukane baba mwenye nyumba nikalala korokoroni sina Hamu na kupanga
Duuh noma, kumbe Kuna wezi sana mkuu.Karibu, ila hakikisha una pumzi ya kukimbizana na vibaka...
Huko mbali mkuu πππMbande na Maji matitu
Asante sana mkuuNjoo mission chumba 15 - 30 umeme maji ndani ya fence