Mambaz 24 jr
JF-Expert Member
- Aug 25, 2023
- 696
- 1,424
Utaikuta gate way lounge kila jumamos hua tunapumzikia hapo
Mpe dada yako nafasi ya kujisosomola unambana hapoShemeji amerudi hapa na mkate na mishkaki..... Niende nikapange ili iweje!!!
Daah hii imeenda😅😅😅Nunua hema tu, unakuwa unalihamisha hamisha kutoka mtaa mmoja hadi mwingine, hakuna kulipa kodi.