Kuna watu wanatafuta kurogwa aisee
Chanuo ni MPALESTINA wa Lembeni.Kuna muda unajikuta unafanya kitu, halafu baadae unaanza kujishangaa mwenyewe. ๐
Leo nimepika chapati na kakipande ka kuku, wakati nakula gafla nikaskia mtu anagonga nikajikuta nakimbiza chakula chumbani. Baadae nikajiuliza, Kwanini nimeficha chakula maana ilikua ni kitendo kilifanyika bila tafakuri.
Baada ya kutafakari nikapata jibu moja tu... kaupare
Na haka kaupare nilikapata kwa demu mpare yeye alikua ananunua nyama robo anakata vipande vidogo vyiiiingiiiii iwe nyingi alaf ananistua tunakula satano usiku
Wapare kwa ubahili nimewakubali๐
Wapare kwa ubahili nimewakubali๐
kwa kupenda makande na parachichi.Hapo unaweza kugombana nao
๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบkwa kupenda makande na parachichi.Hapo unaweza kugombana nao
Hii menu ya kutafutia mtoto.๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบView attachment 3686997
Na bado hamtajirikiKuna muda unajikuta unafanya kitu, halafu baadae unaanza kujishangaa mwenyewe. ๐
Leo nimepika chapati na kakipande ka kuku, wakati nakula gafla nikaskia mtu anagonga nikajikuta nakimbiza chakula chumbani. Baadae nikajiuliza, Kwanini nimeficha chakula maana ilikua ni kitendo kilifanyika bila tafakuri.
Baada ya kutafakari nikapata jibu moja tu... kaupare
Na haka kaupare nilikapata kwa demu mpare yeye alikua ananunua nyama robo anakata vipande vidogo vyiiiingiiiii iwe nyingi alaf ananistua tunakula satano usiku
Hivi ni kweli? Hebu tupe storyKuhusu Ubahiri na Wapare, Nina ushuhuda ๐