Wapare huenda ndo wapo imara sioni wakisemwa.

Kuna muda unajikuta unafanya kitu, halafu baadae unaanza kujishangaa mwenyewe. 😂

Leo nimepika chapati na kakipande ka kuku, wakati nakula gafla nikaskia mtu anagonga nikajikuta nakimbiza chakula chumbani. Baadae nikajiuliza, Kwanini nimeficha chakula maana ilikua ni kitendo kilifanyika bila tafakuri.

Baada ya kutafakari nikapata jibu moja tu... kaupare

Na haka kaupare nilikapata kwa demu mpare yeye alikua ananunua nyama robo anakata vipande vidogo vyiiiingiiiii iwe nyingi alaf ananistua tunakula satano usiku
Sipati picha mpare + mkinga hii ndoa itakuwaje
 
Wapare na uchoyo
Nilidate mpare , alileta kuku tumpike na wali.
Ana ndugu yake huwa anakuja jioni kula, hiyo siku kaja na mtu mwingine tena . Kuona hivyo akasema wapewe chakula yeye atakula baadae anaenda gym.
Akatoa maagizo niwape migongo, shingo na vipapatio tu!
Nikaweka hotpot mezani huwezi amini walikula wali wote.
Ile siku tulikula ukoko na mapaja ya kuku 😂
 
Ni balaa hawa watu.
 
Sasa kwa nini mkapika wali kidogo mkiwa na wageni?
 
Hawa watoto lazima wapate kwashiorkor
😂😂 Hawa watu nilihisi wanasingiziwa mpaka nilipopata bahati ya kukaa nyumba moja na mkinga ambaye tulikuwa tunasoma nae .
Imagine mtu anachemsha maharage ya kula wiki nzima 😂🙌, mtu ana hela ila hata kuweka bando la jero apate taarifa za vipindi chuoni hataki 😂
 
Mwili hufanya vitu unconciously kutokana na mazoea..

We jamaa huna upare wowote. Ni vile umezoea kuwa mchoyo na mbinafsi. Ipo hivyo.
 
Wapare na uchoyo
Nilidate mpare , alileta kuku tumpike na wali.
Ana ndugu yake huwa anakuja jioni kula, hiyo siku kaja na mtu mwingine tena . Kuona hivyo akasema wapewe chakula yeye atakula baadae anaenda gym.
Akatoa maagizo niwape migongo, shingo na vipapatio tu!
Nikaweka hotpot mezani huwezi amini walikula wali wote.
Ile siku tulikula ukoko na mapaja ya kuku 😂
mlishindwa pika mwingine???????????????

hata ugali??

anyway kuna mtu anakaa na shem ni ndoa ya mwaka sasa.
basi tukampelekea nyama nusu atuletee supu

aiseee kuna mtu ameandika wanakata vidogo na supu ni nyingi balaaa vinyama vilikuwa viwili vidogo kuliko mtoto mdogo. mm nikapiga supu mwenzangu akagomaa alikuwa tungi mno.

sasa leo nikaona na nikakumbuka shem alikuwa mpare nimejikuta nacheka hoi
 
Back
Top Bottom