The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Sipati picha mpare + mkinga hii ndoa itakuwajeKuna muda unajikuta unafanya kitu, halafu baadae unaanza kujishangaa mwenyewe. π
Leo nimepika chapati na kakipande ka kuku, wakati nakula gafla nikaskia mtu anagonga nikajikuta nakimbiza chakula chumbani. Baadae nikajiuliza, Kwanini nimeficha chakula maana ilikua ni kitendo kilifanyika bila tafakuri.
Baada ya kutafakari nikapata jibu moja tu... kaupare
Na haka kaupare nilikapata kwa demu mpare yeye alikua ananunua nyama robo anakata vipande vidogo vyiiiingiiiii iwe nyingi alaf ananistua tunakula satano usiku
Tsh 260k iliyokunjwa kwa kidole kimoja π
Hivi ni kweli? Hebu tupe story
Sipati picha mpare + mkinga hii ndoa itakuwaje
Wapare na uchoyo
Nilidate mpare , alileta kuku tumpike na wali.
Ana ndugu yake huwa anakuja jioni kula, hiyo siku kaja na mtu mwingine tena . Kuona hivyo akasema wapewe chakula yeye atakula baadae anaenda gym.
Akatoa maagizo niwape migongo, shingo na vipapatio tu!
Nikaweka hotpot mezani huwezi amini walikula wali wote.
Ile siku tulikula ukoko na mapaja ya kuku π
Sasa kwa nini mkapika wali kidogo mkiwa na wageni?Wapare na uchoyo
Nilidate mpare , alileta kuku tumpike na wali.
Ana ndugu yake huwa anakuja jioni kula, hiyo siku kaja na mtu mwingine tena . Kuona hivyo akasema wapewe chakula yeye atakula baadae anaenda gym.
Akatoa maagizo niwape migongo, shingo na vipapatio tu!
Nikaweka hotpot mezani huwezi amini walikula wali wote.
Ile siku tulikula ukoko na mapaja ya kuku π
You are right, Bora wawe wabahili kama ni Njia ya kulinda vibunda vyako Mimi sioni tatizoMhm siwahi shuhudia ubahili wa wapare naona wengi wao hawana hela tu na sio ubahili π€£
Labda walinde magunia ya makande huko vudeeπ€£You are right, Bora wawe wabahili kama ni Njia ya kulinda vibunda vyako Mimi sioni tatizo
ππ Hawa watu nilihisi wanasingiziwa mpaka nilipopata bahati ya kukaa nyumba moja na mkinga ambaye tulikuwa tunasoma nae .Hawa watoto lazima wapate kwashiorkor
mlishindwa pika mwingine???????????????Wapare na uchoyo