Wapare Mungu anawaona! !!

Wapare Mungu anawaona! !!

Wakiongozwa na mshana jr hii ni hatari kwa usalama wenu barabarani heheheheee.

Wapare ni watani zangu hivo tucheke wote tuu ila mna tabasamu zurii. .... kama la huyu kaka kwenye picha heheheh.

View attachment 403772

Wakedhije wa kaka.
Kubana matumizi pamoja na "improvisation" (ubunifu wa kifaa kwa kutumia mazingira yaliyomzunguka) 😀 😀
 
umeji.jpg

kwikwikwiiiiiiiii
 
Hahahahahahahah waparee shikamoo ila ni wakarimu sanaaa nilisoma ugweno.
 
Back
Top Bottom