Hah haha 😂Swali la kizushi, kwaio mkuu wewe ni worthless kias kwamba hata hao wapare wenzako hawajivunii?
Wooi.. subiri nivunge maana ntachafua hali ya hewa humu ndaniHao ni malegendary
Ume msahau Bilionea lugano 🤓🤓🤓🤓😃😃😀😀😄😄🔥🔥🔥Sisi wapare wa jf tunajivunia Mshana Jr wanyakyusa wanajivunia Bujibuji Simba Nyamaume wahaya wanajivunia GENTAMYCINE na wasukuma wanajivunia Pascal Mayalla ni hayo tu kwà leo.
Ambalo hata hujapigania wala kupambana kuwa wa kabila hilo..!!! Mtu hana mchango wowote wa yeye kuwa wa kabila hilo halafu anajisifia nalo..!!
Wasukuma wanajivunia Dr. Musukuma anayegombaniwa na vyuo vikuu 11 nchiniSisi wapare wa jf tunajivunia Mshana Jr wanyakyusa wanajivunia Bujibuji Simba Nyamaume wahaya wanajivunia GENTAMYCINE na wasukuma wanajivunia Pascal Mayalla ni hayo tu kwà leo.
Riki boy mzee wa Kula tunda kimasiharaSASA
SASA wewe mndengereko unajivunia nani ndugu yangu?
Mjinga sana mimi ndio mjivunie huyoSisi Wanguu tujisifie nani?
Hahahaha [emoji23] Wasambaa je??[emoji23]Sisi wapare wa jf tunajivunia Mshana Jr wanyakyusa wanajivunia Bujibuji Simba Nyamaume wahaya wanajivunia GENTAMYCINE na wasukuma wanajivunia Pascal Mayalla ni hayo tu kwà leo.
Sisi wapare wa jf tunajivunia Mshana Jr wanyakyusa wanajivunia Bujibuji Simba Nyamaume wahaya wanajivunia GENTAMYCINE na wasukuma wanajivunia Pascal Mayalla ni hayo tu kwà leo.