Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
KILA MTU MUWEKEE UKOMO WA KUKUFAHAMU.
1. Kuna watu waishie kujua majina yako tu.
2. Kuna watu ruhusu wafahamu zaidi ya majina yako.
3. Kuna watu zuia kabisa wasijue chochote kuhusu familia yako.
KWANINI KUWEKA UKOMO?
Kwa sababu kadri unavyoruhusu kufahamika ndivyo unajiweka wazi na kujiondolea ulinzi hivyo inatakiwa uwaelewe zaidi watu kuliko wao wanavyokuelewa ili ujue nani anastahili kufahamu kipi kutoka kwako ufikia ndoto zako.