DIRIMULAINA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 921
- 1,720
Hii ni kanuni nzuri ya maisha, inaepusha mambo mengi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Great!!!!KILA MTU MUWEKEE UKOMO WA KUKUFAHAMU.
1. Kuna watu waishie kujua majina yako tu.
2. Kuna watu ruhusu wafahamu zaidi ya majina yako.
3. Kuna watu zuia kabisa wasijue chochote kuhusu familia yako.
KWANINI KUWEKA UKOMO?
Kwa sababu kadri unavyoruhusu kufahamika ndivyo unajiweka wazi na kujiondolea ulinzi hivyo inatakiwa uwaelewe zaidi watu kuliko wao wanavyokuelewa ili ujue nani anastahili kufahamu kipi kutoka kwako ufikia ndoto zako.
Well said.KILA MTU MUWEKEE UKOMO WA KUKUFAHAMU.
1. Kuna watu waishie kujua majina yako tu.
2. Kuna watu ruhusu wafahamu zaidi ya majina yako.
3. Kuna watu zuia kabisa wasijue chochote kuhusu familia yako.
KWANINI KUWEKA UKOMO?
Kwa sababu kadri unavyoruhusu kufahamika ndivyo unajiweka wazi na kujiondolea ulinzi hivyo inatakiwa uwaelewe zaidi watu kuliko wao wanavyokuelewa ili ujue nani anastahili kufahamu kipi kutoka kwako ufikia ndoto zako.
Kuna watu wakijua mambo yako nyeti kukudhuru inakuwa rahisi sanaUlinzi unapoteaje ?
Kweli mkuuWell said.
Maana kujuana sana kunaharibu CV.
Welcome 🙏Great!!!!
Kwa uspecial gan ulionao?KILA MTU MUWEKEE UKOMO WA KUKUFAHAMU.
1. Kuna watu waishie kujua majina yako tu.
2. Kuna watu ruhusu wafahamu zaidi ya majina yako.
3. Kuna watu zuia kabisa wasijue chochote kuhusu familia yako.
KWANINI KUWEKA UKOMO?
Kwa sababu kadri unavyoruhusu kufahamika ndivyo unajiweka wazi na kujiondolea ulinzi hivyo inatakiwa uwaelewe zaidi watu kuliko wao wanavyokuelewa ili ujue nani anastahili kufahamu kipi kutoka kwako ufikia ndoto zako.
Kama huna hela hueshimiki hata ujifungie chumbani.. Tutafuteni
kweli kabisaKuna watu wakijua mambo yako nyeti kukudhuru inakuwa rahisi sana