Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
Kweli kabisaHii inafaa zaidi kwenye makazi mapya. I take it
Zama za uwazi hizi zinafanya ulinzi upoteeKwenye zamani hizi za utandawazi. Watu wamejikuta wamefunua kila kitu bila hata wenyewe kuwa na taarifa.
Ulinzi unapoteaje ?Zama za uwazi hizi zinafanya ulinzi upotee
Sawa mkuuinatakiwa uwaelewe zaidi watu kuliko wao wanavyokuelewa
Namba 4 🤣🤣Hii technology nimeitumia Kwa miaka kadhaa kwenye mikoa mbalimbali.....
1. Atakama umenizoea Kwa miaka 3, ukileta chenga nakuzingua hapohapo.
2. Sitaki mtu kuwa na mazoea sana nyumbani kwangu.
3. Naweza kusitisha mazoea Kwa muda wowote bila kuangalia tumezoeana Kwa muda gani.
4. 95% ya mishe zangu za ujambazi nafanya mwenyewe.
5. Sitaki mazoea na bodaboda.
6. Nikizungua naomba radhi
Muhimu sana 😂Namba 4 🤣🤣
No 4🤣🤣🤣hata washirika wako?unajambazikaje mwenyeweHii technology nimeitumia Kwa miaka kadhaa kwenye mikoa mbalimbali.....
1. Atakama umenizoea Kwa miaka 3, ukileta chenga nakuzingua hapohapo.
2. Sitaki mtu kuwa na mazoea sana nyumbani kwangu.
3. Naweza kusitisha mazoea Kwa muda wowote bila kuangalia tumezoeana Kwa muda gani.
4. 95% ya mishe zangu za ujambazi nafanya mwenyewe.
5. Sitaki mazoea na bodaboda.
6. Nikizungua naomba radhi
Kwa nature ya kazi yenyewe upo sahihi sana.Au
Muhimu sana 😂
NzuriHii technology nimeitumia Kwa miaka kadhaa kwenye mikoa mbalimbali.....