Wapelekana Polisi baada ya jamaa kufaya mapenzi masaa mawili mfululizo

Wapelekana Polisi baada ya jamaa kufaya mapenzi masaa mawili mfululizo

4,000 Kshs hizo kama 90,000 Tshs, hapo terms zipi zingine kama sio tukeshe ukitoa miguno usiku wote.....
Poleni ndugu zangu wa kiume mnaohangaika kweli msiotulia kwenye ndoa zenu.
 
Poleni ndugu zangu wa kiume mnaohangaika kweli msiotulia kwenye ndoa zenu.

Hehehe!!! Mbona haijasemwa kama njemba lipo kwenye ndoa, halafu kwa mwanaume kwenda masaa mawili kihivyo ina maana alikua na njaa ya kufa mtu, hivyo hata kama yupo kwenye ndoa utakuta mkewe ni wale wakiguswa kidogo wanajibu ghafla "baby sio leo, nimechoka", hivyo likaamua kwenda kufanya show ya kweli huko nje.
Hizi ndoa hizi....
 
Back
Top Bottom