Hehehe!!! Mbona haijasemwa kama njemba lipo kwenye ndoa, halafu kwa mwanaume kwenda masaa mawili kihivyo ina maana alikua na njaa ya kufa mtu, hivyo hata kama yupo kwenye ndoa utakuta mkewe ni wale wakiguswa kidogo wanajibu ghafla "baby sio leo, nimechoka", hivyo likaamua kwenda kufanya show ya kweli huko nje.
Hizi ndoa hizi....