Wapelekana Polisi Baada ya Jamaaa Kulamba Asali Masaa Mawili

Wapelekana Polisi Baada ya Jamaaa Kulamba Asali Masaa Mawili

M

Menya vitunguu na tangawizi saga kwenye blender Kisha changanya na asali. Tia kwenye chombo Safi chenye mfuniko. Lamba Mara nyingi uwapo nyumbani. Acha pombe na sigara kipindi unatumia. Wiki mbili nyingi.
Mashambulizi elekeza kwa mkeo tu. Ukionja nje utatangazwa mtaa mzima upate magonjwa bure.
😂😂 Mkuu hapa Umetisha sana
 
Duh! Ila jamaa naye alikuwa amepania Kweli Kweli,jamaa Ni Kama alitaka apige mabao Yake yote ndo ajue ameitendea Hali pesa yake😂
 
Back
Top Bottom