Wapemba 7,000 wapewa uraia wa Kenya

Wapemba 7,000 wapewa uraia wa Kenya

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Rais Ruto amewapa uraia wa Kenya Wapemba Elfu Saba (7,000) leo hii Jumamosi

Wakiishi maeneo ya Kilifii
Wapewa National Id, Birth certificates n.k

Wamekuwa wakiishi huko kwa miaka 100 na hata baada ya Uhuru Serikali iligoma kuwapa uraia wa nchi hiyo
 
Wapemba 7.000

Nikitu gani hii wepemba 7000 au ndio tutafute 4figure
 
Rais Ruto amewapa uraia wa Kenya Wapemba 7.000 leo hii Jumamosi

Wakiishi maeneo ya Kilifii
Wapewa National Id, Birth certificates
Tukio hili lilifanyika jana huko Kilifi Shimoni mji ulio kaskazini ya Mombasa, hawa wameishi hapo Kilifi kwa zaidi ya miaka 50, pia Kenya iliwahi kuwapa uraia wazimbabwe walioishi miaka mingi huko Mombasa.
 
Kwa nini wasipewe wote uraia huko kenya?

Kwanza wapemba ni wasumbufu saana!
 
Wapemba hao ni wavuvi toka zamani, na wengine walikimbia machafuko zanzibar kipindi cha Mkapa, hivo kupata uraia wa Kenya ni kitu kizuri sana na uzuri wapemba sio wavivu ni wachapakazi sana
 
Wanastahili haki zao kwani wamekuwa wakipigania kupata angalau kutambuliwa tu kwa uraia au hata vitambulisho tu

Walinyimwa hata vitambulisho na hata vibali vya uvuvi walikataliwa kwa miaka mingi sana

Leo ni shangwe kubwa kwa wapenda haki za binadamu
Hao 7,000 ni watoto wa wazee waliohamia miaka 1930 huko
 
Bora wamepewa uraia wa kenya
Mapadri watakuwa salama sasa huko pemba.
 
Kama ulikusudia kuandika 7,000, Pemba nzima hakuna wakaazi 7,000

Unadanganya kwa faida ya nani au nini?

Hata kama ni kweli, sio lazima wakaazi wa ndani ya kisiwa wawe na idadi kubwa kuliko watu walio na asili ya kisiwa hicho walioko nje ya kisiwa.
 
Qatar imeacha funzo kubwa sana kwa upande wa pili, kwenye mashindano ya kombe la dunia imewadhihirishia wazungu, waafrika, wachina n.k wasio na dini kuwa waarabu na waislamu kwa ujumla ni watu safi, watu wazuri wasiopenda vita. Wewe utakaejibu comment hii ukiwa umevimba pole sana

Hongereni sana wazanzibari mlioko huko kenya kwa kupewa uraia
 
Back
Top Bottom