Wapemba 7,000 wapewa uraia wa Kenya

Wapemba 7,000 wapewa uraia wa Kenya

Sa miaka.100 bado unawaita wazenji? 😅😅😅 kuwa serious bhana
 
Sa miaka.100 bado unawaita wazenji? 😅😅😅 kuwa serious bhana
Origin ya mtu hua haibadiliki,wale Niggas wa US huwezi kuwaita wazungu,ni wamarekani wenye Asili ya Africa,
Kizazi cha Mo Dewji kina zaidi ya hiyo miaka 100 toka kilipohamia Africa ila haibadilishi kua Origin ya Mo ni India.
 
Origin ya mtu hua haibadiliki,wale Niggas wa US huwezi kuwaita wazungu,ni wamarekani wenye Asili ya Africa,
Kizazi cha Mo Dewji kina zaidi ya hiyo miaka 100 toka kilipohamia Africa ila haibadilishi kua Origin ya Mo ni India.
Sijasema ORIGIN coz hata hapa.tz origin ni WAGOGO na sijui kabila gani jingeni, tuliobaki ni WAHAMIAJI kutoka maeneo (territories) zingine wakati huo hazijawa nchi
 
Ila ni watz sio?
Utanzania ni uraia,mtu yeyote Duniani anaweza kua mtanzania kama ata Apply uraia wa Tz na kukubaliwa basi atakua ni mtanzania,

Hata Messi anaweza kua mtanzania kama ata Apply uraia na kukubaliwa But Origin yake itabaki pepale,

Ndio maana utasikia "Mtanzania mwenye asili ya Asia"
 
So wangoni ni wasauzi? Maana walihamia songea miaka 203 iliyopita
Uraia ni ulipozaliwa mkuu
Mimi watoto wangu na wazazi wangu ni kabila moja ila wote tuna passports tofauti tofauti

Kuna siku tulienda nchi moja tukiwa watatu na kila mmoja na passport ya nchi tofauti lakini asili ni moja bali uraia tofauti

Maisha ndio hivyo hata wale weusi wa US wengi wameanza kufanya Ancestry DNA na akijua asili yake ni Cameron lazima akatembelee ila bado ni Mmarekani kwa kuzaliwa
 
Warudi Zanzibar Haraka Maana Kule Uchumi Wa Blue Umepamba Moto
 
Qatar imeacha funzo kubwa sana kwa upande wa pili, kwenye mashindano ya kombe la dunia imewadhihirishia wazungu, waafrika, wachina n.k wasio na dini kuwa waarabu na waislamu kwa ujumla ni watu safi, watu wazuri wasiopenda vita. Wewe utakaejibu comment hii ukiwa umevimba pole sana

Hongereni sana wazanzibari mlioko huko kenya kwa kupewa uraia
Shida ipo kwa hawa wa kwetu huku
 
Safi,huku bongo kura zinapigwa zinaibwa,ukidai unavunjwa miguu!bora walivyowapa uraia hao waliokimbilia kenya
 
Ningependa kujua wanaishije.
Je wameoewa kijiji au wamechanganyika tu na wengine.
Kabla ya kuja wakoloni makundi ya watu wabantu,wamasai , warabu walihamia mahala na kupewa ardhi, je huko kenya wamepewa ardhi.
 
Back
Top Bottom