Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
KwaniniRais Ruto amewapa uraia wa Kenya Wapemba 7000 leo hii Jumamosi
Tukio hili lilifanyika jana huko Kilifi Shimoni mji ulio kaskazini ya Mombasa, hawa wameishi hapo Kilifi kwa zaidi ya miaka 50, pia Kenya iliwahi kuwapa uraia wazimbabwe walioishi miaka mingi huko Mombasa.Rais Ruto amewapa uraia wa Kenya Wapemba 7.000 leo hii Jumamosi
Wakiishi maeneo ya Kilifii
Wapewa National Id, Birth certificates
Walikusumbua kitu gani kwenye harakati zako?Kwa nini wasipewe wote uraia huko kenya?
Kwanza wapemba ni wasumbufu saana!
Umewahi kuishi pemba mkuuWalikusumbua kitu gani kwenye harakati zako?
Wamekaa na kuzaana Kenya kwa miaka zaidi ya 100Kama ulikusudia kuandika 7,000, Pemba nzima hakuna wakaazi 7,000
NdioUmewahi kuishi pemba mkuu
Kama ulikusudia kuandika 7,000, Pemba nzima hakuna wakaazi 7,000
Kuna watu hua wanakurupuka tu ku comment bila hata kuielewa thd kwanza,bora umemfahamisha.Wamekaa na kuzaana Kenya kwa miaka zaidi ya 100
Tena wachache sana hao ukizingatia kuzaana kwao
Hawo mapadri kama watafanyiwa fujo ni lazima wafanye waliokohuko Kenya?Bora wamepewa uraia wa kenya
Mapadri watakuwa salama sasa huko pemba.