Wapemba Mungu anatuona, nakataliwa kuoa kisa nimekulia Bara

Wapemba Mungu anatuona, nakataliwa kuoa kisa nimekulia Bara

Infiltrator

Senior Member
Joined
May 13, 2017
Posts
126
Reaction score
227
Wanajukwaa salamu kwenu.

Mimi ni kijana wa kipemba, nimependana na kijana mwenzangu binti wa kipemba. Nimeenda kwao nimemposa ila leo nimepata majibu kuwa nimekataliwa kwa sababu sijakulia pemba.

Kibaya zaidi binti kaapa kuwa asipoolewa na mimi basi kifo ndio kheri yake. Muda si mrefu alikuja home kwetu na amenambia akisikia nimeoa basi atahakikisha siishi kwa amani maisha yangu yote.

Binti nampenda na yeye ananipenda zaidi ya sana na hata sijui lakufanya tafadhali nishaurini

UPDATE;
Wazazi wa binti wamenipigia simu wananishutumu kwao amani imetoweka sababu yangu. Wanahisi huenda nimemloga binti yao ili awe kichaa kwa ajili yangu. Mwishowe baba mzazi wa binti ameniuliza mahusiano yenu mlianza lini, nimemjibu tangu tupo form 1 2009.
 
wanajukwaa salamu kwenu
Mimi ni kijana wa kipemba nimependana na kijana mwenzangu binti wa kipemba nimeenda kwao nimemposa ila leo nimepata majibu kuwa nimekataliwa kwa sababu sijakulia pemba. Kibaya zaidi binti kaapa kuwa asipoolewa na mimi basi kifo ndio kheri yake na mda si mrefu alikuja home kwetu na amenambia akisikia nimeoa basi atahakikisha siishi kwa amani maisha yangu yote...
Binti nampenda na yeye ananipenda zaidi ya sana na hata sijui lakufanya tafadhali nishaurini
Jinyonge mapema
 
Back
Top Bottom