Wapemba Mungu anatuona, nakataliwa kuoa kisa nimekulia Bara

Mkuu itakua huna hela tu.
Mbona wangekubalia hata ungekua mnyamwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unajitesa bure na kunitafutia matatizo kwani uliweka nadhir kwamba lazima uowe Mpemba hao watu ni wabaguzi sana tena sana mm binafsi nimeishi nao wapemba waliokaa Dar ,Bagamoyo, Tanga hawa wako vizuri lakini aliyekulia pemba mwanzo mwisho huwa ni Conservative kamwe habadiliki wazazi huona ni bora wakamuozesha binti yao kwa Twaliku Swalaa kuliko mtu wa Swala tano asiye mpemba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wadau walivyokushauri we piga mimba tu. Wasipokuozesha piga ya pili ; kama bado piga ya tatu utaona wanamleta wenyewe.

Kuna jamaa yangu alitaka kuoa mwarabu wakamkatalia; akamdunga binti mimba ya kwanza bado wakakataa , akamdunga ya pili bado wakataa kumuza binti. Alivyomdunga ya 3 mbona walimfuata wenyewe kumuomba aje aoe

God save us
 
Wewe ungetia mimba kwanza kabla ya posa wala kwenda huko ungejibebea kiulaini tu

mpuuzi mpuuzi tu
 
1mil napata mke huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…