Wapemba Ni watu poa sana

Tatizo ni wakabila Sana .ilo tatizo ni kubwa Kwa Kwelikweli
 
Nikweli mkuu,kuna mmoja alinisaidia sana kipindi cha nyuma,Anakukopesha hata mwaka mzima hana habari,hakuulizi,yeye anasema usipomlipa duniani,utamlipa akhera.
😂wana roho za kitajiri sana hawa jamaa, wako friendly sana hasa ukiwakuta wale waliopiga shule kidogo.
 
kweli hao jamaa wanaroho nzuri lakini usije ukamzingua tu hamna rangi utaacha kuone ujue
 
Ukitaka kufanikiwa kwa biaashara deal na.wapemba kiukweli ni waaminifu sana kuliko makabila yote Tanzania..Ukitaka uchakae fanya biashara na watu wa kaskazini mwa Tanzania utajuta kwanza wezi afu hawapendi mwengine apate
 
Sifa za wapemba
-wanadini sana na wanaheshimu sana dini waisilamu wote.
-wanajua kuishi na kila mtu popote wao kambi
-wanajua biashara sana mchaga asubili( ila lazima atumie na madudu kwenye biashara nasisitiza lazima)
-Wakarimu sana.
-wanawake wao wazuri tatizo chura hakuna.

Mabaya yao.
-wabaguzi balaa yaani aijalishi uwe kafiri au muisilamu mwenzao kama sio mpemba ww ni kafiri tu
-wazee wa majini balaa hakuna anachofanya bila kutumia madude yao.
-mabishi sana na misimamo mikali sana hata kama hayupo sahihi akiamini anachoamini hayumbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…