...wapemba wapo poa sana yaani mta share vitu vingi sana ila sio swala la kuchanganya damu (kuoa/kuolewa) ilo ukifanikiwa jiandae kutengwa otherwise pesa isiwe tatzo kwako...
kuna bint wa kipemba nilipanga nimuoe apo baadae nilijaribu sana kumchimba kwa maswali,nilimuliza ktk ukoo wenu kuna mtu alishawai kuolewa au kuoa m'bara akajibu hapana, nikamuliza kwanini akasema wabara si wastarabu ndo hivyo tunaamini iliniuma sana kusikia hayo maneno,nikaona apa napoteza nguvu na muda wangu nikachange maamuzi japo binti nilimpenda.
mana unaweza ukawa unasubiri boti airport.