Wapenda demokrasia ile kesi ya kupinga Urais wa Ruto iko mubashara, leo ni utetezi

Kumekucha tena.

Kesi imeshaanza kusikilizwa ambapo Raila Odinga anapinga ushindi wa Dr. Ruto.

Mubashara Citizen tv.

cc: Wakili Pascal Mayalla
Asante tuko tunafuatilia, na leo nimeenda Kenya straight bila kuanzia Tanzania nisije kutana tena na "jicho ona" nikakwama kama jana.
Hii lingua inayotumika kuendesha kesi hii, ni uthibitisho, wakoloni wametufanya vibaya sana!.

P
 
Usinichekeshe Championship, eti muda wote anafuatilia ha ha haa! Labda kutazama sura za walioko mahakamani! Hilo analimudu sana tu!
Raha jipe mwenyewe usimsubiri Freeman akuletee asali hapo Ufipa st

Katikati ya fursa usingizi unautoa wapi?

Wanaolala ni maskini ambao kwao usingizi wa mfu ni burudani
 
Nipo hapa kifuatilia na mimi
1661930512983.png

Pamoja sana
Mwalimu Nyerere: Kwa namna ile ile Kiswahili ni lugha rasmi ya Tanzania, Kiingereza ni lugha rasmi ya dunia! Tanzania ni sehemu ya hiyo dunia.​
 
Wakili Msomi Pascal Mayalla tunaomba mrejesho wa kisomi na utofauti baina ya Mahakama zetu sisi na jirani.
Mkuu Ngongo , kwanza asante kwa kunitambua kama wakili msomi, mimi naomba kujitambulisha rasmi kuwa mimi sio wakili msomi, mimi ni wakili mtangazaji.
Hakuna tofauti yoyote kati ya mahakama zetu na hizi za wenzetu, tofauti ni wanasheria wetu na wenzetu ni kama mbingu na nchi!.

Moja ya pillars za EAC Integration yaani Mtangamano wa nchi za Jumuiya ya Africa Mashariki, ni free movement of labor ambapo raia yoyote wa Africa Mashariki yuko free kufanya kazi nchi yoyote bila restrictions zozote, hakuna tena hitaji la work permit kwa raia wa Africa Mashariki, hivyo Wakenya watalamba kazi zote za maana na mawakili wa Kenya ndio watashika hii free movement of labor ikianza.

Nakubaliana na wewe kwa 100%

Sisi Tanzania tutakamata soko la Madalali kwa sababu eneo hilo tuko vizuri sana
 
Mkuu Ngongo , kwanza asante kwa kunitambua kama wakili msomi, mimi naomba kujitambulisha rasmi kuwa mimi sio wakili msomi, mimi ni wakili mtangazaji.
Hakuna tofauti yoyote kati ya mahakama zetu na hizi za wenzetu, tofauti ni wanasheria wetu na wenzetu ni kama mbingu na nchi!.

Moja ya pillars za EAC Integration yaani Mtangamano wa nchi za Jumuiya ya Africa Mashariki, ni free movement of labor ambapo raia yoyote wa Africa Mashariki yuko free kufanya kazi nchi yoyote bila restrictions zozote, hakuna tena hitaji la work permit kwa raia wa Africa Mashariki, hivyo Wakenya watalamba kazi zote za maana na mawakili wa Kenya ndio watashika hii free movement of labor ikianza.
P

Angalau umejitahi kukiri ukweli na sio kuleta uzalendo mlo.
 
Back
Top Bottom