johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
HongeraHivi sasa nasikiliza kwa makini madini kutoka kwa moja wa mawakili wa petitioners, duh! Hii ni hatari!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HongeraHivi sasa nasikiliza kwa makini madini kutoka kwa moja wa mawakili wa petitioners, duh! Hii ni hatari!
Angalau umejitahi kukiri ukweli na sio kuleta uzalendo mlo.
Mtu aliye biased hawezi kukupa tofauti yoyote ya maana, ataishia kupiga porojo tu.
Mkuu Ngongo , kwanza asante kwa kunitambua kama wakili msomi, mimi naomba kujitambulisha rasmi kuwa mimi sio wakili msomi, mimi ni wakili mtangazaji.
Hakuna tofauti yoyote kati ya mahakama zetu na hizi za wenzetu, tofauti ni wanasheria wetu na wenzetu ni kama mbingu na nchi!.
Moja ya pillars za EAC Integration yaani Mtangamano wa nchi za Jumuiya ya Africa Mashariki, ni free movement of labor ambapo raia yoyote wa Africa Mashariki yuko free kufanya kazi nchi yoyote bila restrictions zozote, hakuna tena hitaji la work permit kwa raia wa Africa Mashariki, hivyo Wakenya watalamba kazi zote za maana na mawakili wa Kenya ndio watashika hii free movement of labor ikianza.
P
Preconceived negativity and looking down upon others ni tatizo hapa jf. Mtu akiulizwa kitu, tusimjibie kwa ku m priempty with negativity!.Mtu aliye biased hawezi kukupa tofauti yoyote ya maana, ataishia kupiga porojo tu.
Naomba nisianze kusema nikaonekana kama napiga kampeni za kichinichini nika fyekelewa mbali!.Uko sahihi,kama nitakuwa sahihi wewe pia unagombea nafasi ya ubunge EAC utatusaidiaje katika hili na free movement of labor maana naona wanasheria wachache sana wataweza kushindana na wanasheria wa Kenya labda Kibatala na Hosea.
Much respect. ThanksAngalau umejitahi kukiri ukweli na sio kuleta uzalendo mlo.
Hata lile soko la the oldest professional, ma manzi wa Nairobi watasubiri sana!, ila Baganda women wakitia timu, hata dada zetu wa bara, watalala njaa!.Nakubaliana na wewe kwa 100%
Sisi Tanzania tutakamata soko la Madalali kwa sababu eneo hilo tuko vizuri sana
Pole sana bwasheeVing'amuzi vina tozo hivyo nimeshindwa kulipia
Mkuu mimi niko hapa Muthaiga(Residence) nimetulia nakula mema ya Nchi yangu huku ugenini, nikimaliza nipite pale Village market, then Two rivers na siku yangu itakua imeisha officially,Asante tuko tunafuatilia, na leo nimeenda Kenya straight bila kuanzia Tanzania nisije kutana tena na "jicho ona" nikakwama kama jana.
Hii lingua inayotumika kuendesha kesi hii, ni uthibitisho, wakoloni wametufanya vibaya sana!.
P